E eddy JF-Expert Member Dec 26, 2007 15,106 10,079 Oct 30, 2015 #1 Ipo haja ya kumtenganisha Magufuli na mambo ya chama abaki kuendesha serikali. Kwa namna alivyong'oa mafisadi ndani ya chama kwa umakini naona aendelee kuwa mwenyekiti wa CCM na Magufuli achape kazi ya kuiongoza nchi.
Ipo haja ya kumtenganisha Magufuli na mambo ya chama abaki kuendesha serikali. Kwa namna alivyong'oa mafisadi ndani ya chama kwa umakini naona aendelee kuwa mwenyekiti wa CCM na Magufuli achape kazi ya kuiongoza nchi.
E Erickfordiv Member Sep 6, 2014 8 2 Oct 30, 2015 #2 Itakuwa ni katiba Yako mwenyewe na bunge lako la kichwani!
Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,152 20,801 Oct 30, 2015 #3 Hayo ni yenu, shirikishaneni kwenye page zenu huko!! Mbabe ndo mwenyekiti wenu, tulieni awanyooshe, na hivi amejiapiza kabisa!!
Hayo ni yenu, shirikishaneni kwenye page zenu huko!! Mbabe ndo mwenyekiti wenu, tulieni awanyooshe, na hivi amejiapiza kabisa!!