Kikwete aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,022
9,943
Ipo haja ya kumtenganisha Magufuli na mambo ya chama abaki kuendesha serikali.

Kwa namna alivyong'oa mafisadi ndani ya chama kwa umakini naona aendelee kuwa mwenyekiti wa CCM na Magufuli achape kazi ya kuiongoza nchi.
 
Hayo ni yenu, shirikishaneni kwenye page zenu huko!! Mbabe ndo mwenyekiti wenu, tulieni awanyooshe, na hivi amejiapiza kabisa!!
 
Back
Top Bottom