Mfalme wa miondoko ya Pop duniani marehemu M.J naye aliangukaga jukwaani hivihivi kama muungwana wetu J.M.
Naomba niulize kaswali kamoja. Huyu muungwana J.M aliwezaje kufikia cheo cha kanali huko JWTZ kama afya yake iko NA mgogoro kiasi hiki? na lile rigwaride aliliwezaje???
Huyu alikuwa kitengo cha siasa! Kitengo hichi huwa hawana magwaride wala mafunzo mengine ya kijeshi
Na huwa hawapimwi afya pia??
Kule ni siasa tu na kutunga propaganda na kwaya! Unafikiria Capt John Komba ni askari yule kweli? type hiyo
Inawezekana madaktri wake wanafurahia hali hii, watu husema bila magojwa kusingekuwa na haja ya daktari kwa hiyo kuanguka kwa rais ni faraja kwao hata kuiomba per diem inakuwa rahisi.Natafuta wasifu wa Madaktari wa Raisi wamesomea wapi na nini! Napata uchungu kuona raisi anaanguka vile hadharani, wanafanya kazi zao kinyume na ethics na kiapo cha udakatari, hii aibu Kikwete ataendelea ipata hadi lini?
Kikwete kwa sababu za kiafya achana na kazi ya kuomba uraisi hufai na unakifafa!
Aisee
Inawezekana madaktri wake wanafurahia hali hii, watu husema bila magojwa kusingekuwa na haja ya daktari kwa hiyo kuanguka kwa rais ni faraja kwao hata kuiomba per diem inakuwa rahisi.
Ulikuwa unasema hii videoAiseee mzee nataka kwenda kubariki mtoto sehemu! Niwekee ile anasema aiseeee na kula mwereka
Na nimewapa ushauri wa bure wasirogwe tena kumrudisha jangwani wasije wakasema sijawaambia.Kwa nini Rev unaturudishia hii, ona simanzi za hao kinamama; ila nao washikishwe adabu, hakuna sababu ya kuchagua kile ambacho kitakufanya ulie! Unalia moja kwa sababu matamanio yako hayajatekelezwa, pili unalia kwa kumsikitikia kiumbe mwenzako anayeanguka sababu tu ni kuwekwa mbele ya kadamnasi ambayo anaiogopa, kwa nini kwa sababu ya madhambi yake. Dhambi inamwangusha hakuna lingine. Ni kivuli chake kinamtisha anaogopa, anaishiwa nguvu, na ni hatari anaweza akapoteza maisha kwa kujihofia mwenyewe!
Na nimewapa ushauri wa bure wasirogwe tena kumrudisha jangwani wasije wakasema sijawaambia.
Na nimewapa ushauri wa bure wasirogwe tena kumrudisha jangwani wasije wakasema sijawaambia.