GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

JK 90% Slaa 15% Lipumba 5% - By jeykey Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

Naona inakuuma kuona JK apita kiurais
Si mimi, haya ni maandishi ya busara zako JK 90% Slaa 15% Lipumba 5%
na hii ni signature ya Invisible Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Utachagua mwenyewe yepi yana hekima.
 
Tatizo la wanaokuja hapa na kuanzisha majina mengi mengi hawaji kwa hoja wao wanakuja kwa lengo la kukanusha si kutoa hoja ni sawa na kusema YES mwingine aseme NO bila kufafanua, kwa hiyo wanajikuta wanashindwa.
 
Wanalazima tusione kama mfalame yuko uchi! Hata kama hakuvaa nguo
 
Kuna suala hapa hatujaligusia bado. Kwingineko kwenye mabandiko humu nimesoma msafara wa Kikwete "umeteka" ambulance pekee wanayotumia hospitali ya Bugando sasa iko kwenye msafara wa rais wakati wa kampeni zake huko Lake Region. Ina maana ikiwa kuna mgonjwa wa dharura pale Mwanza hakuna ambulance sasa ya kumhudumia. CCM wanao uwezo wa kununua ambulance yao kwa sababu ugonjwa wa rais si siri. Kwa nini hawakufanya hivyo na badala yake wanawanyima wakazi wa Mwanza chombo chao cha dharura?
 
CCM wanao uwezo wa kununua ambulance yao kwa sababu ugonjwa wa rais si siri. Kwa nini hawakufanya hivyo na badala yake wanawanyima wakazi wa Mwanza chombo chao cha dharura?
Hawana akili hiyo mawazo yao yote kwenye mashangingi umwambie Msekwa anunue ambulance badala ya shangingi atakuelewa, lakini waache watambe na mali ya serikali siku zao zinahesabika.
 

Jasusi,

Yote wanayofanya CCM yanatunzwa. Matumizi ya magari ya serikali ilikuwa ni nafuu. Ila hii ya kuchukua ambulance ya Mwanza ni zaidi ya maelezo ya kawaida.
 
Mfalme wa miondoko ya Pop duniani marehemu M.J naye aliangukaga jukwaani hivihivi kama muungwana wetu J.M.

Naomba niulize kaswali kamoja. Huyu muungwana J.M aliwezaje kufikia cheo cha kanali huko JWTZ kama afya yake iko NA mgogoro kiasi hiki? na lile rigwaride aliliwezaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…