Gold Addict
Senior Member
- Sep 5, 2011
- 150
- 42
jamaa ameshindwa kuingia hata top ten????:lol:
sasa hiyo C kwanini wamempa? why not A+?
Kufuatia tafiti iliyofanywa na gazeti lisilo fungamana na upande wowote la East African 06/02/2012 kuhusu ubora wa marais wa Africa,Kikwete ameambulia grade C.Utafiti huo ulizingatia vigezo vifuatavyo;
Mo Ibrahim- 15%
Democracy Index-15%
Corruption Index-15%
human development Index-5%
NMG political Index-15%
Kwa vigezo hivyo hapo,grade zilikuwa kama ifuatavyo:
100-70:A
70-60:B
60-50:C
50-45
45-40:F
40-30:Intensive Care Unit(ICU)
30-0:morgue
Kwa habari zaidi ingia humu
The East African: Understanding The Region*- Magazine
iyo ni C negative! Kwa neno lililozoeleka..Karai! Au kwa maana nyingine yuko kwenye chaki!
kama ndani ya mwaka mmoja ameweza kuanguka namna hiyo,vipi ikifika 2015?nadhani atakuwa ICU
Brain cells zako zipo wapi kwenye mwili wako?kajitahidi sana ukilinganisha na Zimbabwe. Tuache unafiki na tumpongeze.
Brain cells zako zipo wapi kwenye mwili wako?
Mimi naona hata hiyo C amependelewa tu, stahiki yake ni ICUjamaa ameshindwa kuingia hata top ten????:lol: