Kikwete aambulia "C" kwa ubora wa marais AFRICA

Kama matokeo yenye kwa nchi zingine za Africa ndo haya, basi Tanzania imejitahidi sana. Kwa Africa Mashariki imeburuza nchi zote kasoro Kenya ndo wametupita kidogo. Hizo nyingine za Africa ndo hohehahe totally, has huo upande wa kulia....
Kwahiyo unafurahia kuwa mjinga mwenye afadhali?
 
Kwa taarifa marais wa hizo top three Botswana, Cape Verde, na Mauritius wote wana asili ya UMANGA na nchi zao ndizo zilizofanya vizuri zaidi. Tusitazame hizo takwimu just kienyeji bila reasoning yoyote; kuna kitu fulani tena kikubwa cha kujifunza hapa. Mauritius na Cape Verde ni "vinchi" vya visiwa ambavyo havina hata resources za maana; Botswana ukiacha kiasi fulani cha almasi sehemu kubwa ni jangwa. Yaani in terms of resources huwezi kulinganisha hivyo "vinchi" na, say, Tanzania, DRC, Sudan, Nigeria, etc.

Pia tusisahau Botswana, Cape Verde, na Mauritius are the most democratic countries in Africa. Kwa mfano, Botswana imekuwa nchi ya vyama vingi since her independence. We should learn something here guys.
 
Kwahiyo unafurahia kuwa mjinga mwenye afadhali?

Tupo above average so sio ujinga. Kama ni mtihani JK kafaulu maana siku zote matokeo hata ya form six huwa hawatoi maksi ulizopata wanakupa grade tu. Therefore kwa C, JK kafaulu kabisa na amejitahidi sana maana tungetegemea hali mbaya zaidi. Jamani tuwe wakweli, hata kwenye mitihani ya darasa la saba akitokea mtu ambaye hatukutegemea afaulu na akafaulu kwa maksi za kwenye mstari, watu huwa wanamfurahia huyu zaidi kuliko yule anayekuaga wa kwanza kila siku na akafaulu vile vile
 
Wamechakachua, Tanzania haifananii kuwa katika grade C. Kwa jinsi inji ilivyo labda E ingekuwa afadhali
 
Imechakachuliwa sana eti JK kamfunika Kagame,au mwenyekiti wa hiyo tume atakuwa Judge lewis Makame na msaidiz wake atakuwa Rajab kiravu!!!
 
haaa yani matokeo kaja nayo mwenyewe aache kuchakachua wakati alikuwa na f imetulia
 
C mbona tumeshinda sana tu......tusubirie na SYNOVATE uone km atupati +A.......aminiiiiiiiia
 
Dah!huko somalia,ethiopia na eritrea wanatakiwa kupga msuli wa kufa m2.
 
Wapi naweza kwenda ku' appeal' dhidi ya matokeo hayo naamini CW tu alipata 05%, labda wangeoza kipengele cha kuponda raha na uzururaji angechomoka na banda
 
Yaani ameendelea kupata 'gentleman' score hadi ktk utendaji kazi wake. Duuuuuu,!
 
Back
Top Bottom