Na yeye nafikiri atakuwa amekoma na kiherehere chake cha kukimbilia ikulu!!aliambiwa hajakomaa bado sasa anajionea mwenyewe!!tyanzishe utaratibu mpya wa kumpata rais,asiende kuchukua form kwa mapenzi yake!hapana!!!!chama kimfuate na kumuomba kutokana na weledi wake utendaji na usafi wake......period