Hilo la kuhitaji wataalamu ndio mtihani mkubwa kwake
aina ipi ya wataalamu atawatumia...kufeli au kufaulu kuna tegemea team yake ya economists itakuaje
Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.
Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.
Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?
Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.
Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.
Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.
Atumie hata Prof Lipumba ikibidi na jopo la wataalamu wengine, tukiweka uzalendo kwanza inawezekanaHilo la kuhitaji wataalamu ndio mtihani mkubwa kwake
aina ipi ya wataalamu atawatumia...kufeli au kufaulu kuna tegemea team yake ya economists itakuaje
Hilo la kuhitaji wataalamu ndio mtihani mkubwa kwake
aina ipi ya wataalamu atawatumia...kufeli au kufaulu kuna tegemea team yake ya economists itakuaje
The boss nitofautiane nawe so kweli kwamba ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi unahitaji, economist pekee nadhani tunahitaji jopo LA wataalamu toka fani mbalimbali wakishirikiana na wachumi wabobevu siyo wachumi theoretical oriented',
kwa mfano kama tukiamua kuwekeza kwenye hospital za kisasa ili wagonjwa toka nchi jirani waje kutibiwa hapa, kama ilivyokuwa Kule semunge kwa babu, tutahitaji mawazo ya wachumi pamoja na wanataaluma ya tiba,
Huu ulioandika ni upumbavu.
10 yrs kikwete kaimalizia angan kama popo na kwa gharama zakutisha- katutia hasara isiyo na kiwango
This man (Maguful) ndo kwanza katoa hotuba na baraza lake hajaunda.
Why unampigia unajim as if ameshindwa utekelezaji kama alivyofeli mkwere
Elimu hoyoooo kabisa
Afya hovyoooo kabisa
Viwanda na biashara tumekuwa shamba la bibi kila kichaa anajivunia nakubebaba atakacho
Madawa ya kulevya ndo usiseme
Usmati wa mkwere upo wapi mpuuzi wewe zaid yakunua nakucheka hovyo tukiumizwa na makodi makubwa na yeye kukimbizia busha amerika baba zetu wakifia Muhombili
Grrrrrrrrrry this is a Stupidy thread so far to come accross my eyes.
Hayanihusu mabadiliko lowasa, lowasa mabadiliko
Nitabakia mpinzani daima mpaka pale ccm itapoondoka. Mfumo ccm umeota mizizi, mtu mmoja aitwae Pombe hawezi ufumua. Naamini maendeleo yatakuja kwa kutoruhusu chama kimoja kudumu madarakani muda mrefu.
mbona kaandika contents. Inaonekana ulipoanza soma tu ukachukia moja kwa moja. pata glass ya maji vuta pumzi halafu soma tena utamuelewa.Issue ya Rais kuwa na watu mahiri wa kumshauri ktk masuala yenye impact kwako na kwangu kama uchumi ni obvious....ukakasi umepata wapi sasa
jana nimesikiliza hotuba hotuba ya magufuli nikalinganisha na za jk, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya jpm ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.
Wakati jk akisema ataanzisha mradi fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema nssf ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili kawe alisema nhc ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china tanzania na oman, jk aliamini zaidi katika fdi.
Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? Yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?
Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather english boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? Sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.
Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? Anadhani hayapo kisheria? Anadhani akina mbowe hawayaoni? Mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? Ukweli there is a chain of bureaucracy.