Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.
Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.
Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?
Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.
Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.
Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.
Hilo la kuhitaji wataalamu ndio mtihani mkubwa kwake
aina ipi ya wataalamu atawatumia...kufeli au kufaulu kuna tegemea team yake ya economists itakuaje
Twende pamoja Mkuu.Nitabakia mpinzani daima mpaka pale ccm itapoondoka. Mfumo ccm umeota mizizi, mtu mmoja aitwae Pombe hawezi ufumua. Naamini maendeleo yatakuja kwa kutoruhusu chama kimoja kudumu madarakani muda mrefu.
Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.
Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.
Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?
Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.
Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.
Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.
Mkuu, umeongea vema kabisa. Mafisadi wanaweweseka na wanatafuta pa kutokea ili kumchafua Magufuli. Hawatafanikiwa. Tunazidi kumuombea kwa Mungu ili ampe nguvu na utashi wa kupambana na mafisadi na kurekebisha mambo yote yaliyoporomoka wakati wa utawala wa KikwetePamoja na hoja zako nzuri lakini umekosea kufananisha hotuba za aliekuwa anaendelea majukumu na yule anayeanza. Sina uhakika, lakini naamini hotuba ya JK bungeni mwaka 2005 hakusema kama ulivyoandika bali aliongea kwa ujumla.
Pili, kwa mfano ngozi zote ambazo ni quality zinasafirishwa nje ya nchi halafu wao wanaleta bidhaa za ngozi ambazo tunanunua kwa bei ya juu. Pale morogoro kuna kiwanda cha bidhaa za ngozi ikiwemo viatu kimetelekezwa. Hata hvo kuna wazee wastaafu wanajikongoja wanatengeneza kwa kutumia poor technology. Sasa tukiwekeza pale vitatoka viatu safi na bora zaidi kwa bei nafuu.
Hivyo, tusiwe wachongaji tumpe moyo. Nimepita sehemu kutafuta huduma za ofisi ya serikali nikakuta wapo busy wameagizwa wapeleke Ikulu mpango kazi wa kutekeleza masuala ya kilimo, uvuvi na mifugo ambayo italeta mapinduzi ya viwanda.Ile hotuba yake alivyosisitiza kuendeleza sekta hizo, nikaona the man is serious.