Black African
Member
- Oct 17, 2011
- 24
- 3
Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma tukapeana cm nomber,tuliwasiliana sana kiasi cha kila m1 kuifahamu life possition ya mwenziwe,love messages tulitumiana kila m1 akawa ana hamu ya kumuona mwenziwe,wiki 3 nyuma tulionana live kila m1 alithibitisha kuwa huyu ndie,wiki 1 baada kuonana ckuganda ksb alinivutia na signali zake zinasomeka poa hivyo nilimu-approuch tuwe wapenzi wa kudumu bahati nzuri kanikubali,hivi sasa penzi letu ni changa sana tuna siku 12 tu,hivi sasa wiki imepita cm yake haipokelewi,cku 1 kama zari imepokelewa akaniambia cm yake ameichukua kaka yake tangu cku hiyo leo ya 4 naipiga haipokelewi, kabla hatujaonana aliwahi kuniambia nyumbani kwao anabanwa sana kiasi cha kutembea haruhusiwi.Binafsi nina nia ya kumpenda kwa upendo wa dhati lkn kaka yake amekuwa kikwazo,kuhusu age she's 18 yrs old and me 21yrs old kaka yake umri sawa na mimi ,faida 1 kuwa mama yake yuko fair,wala haishi na baba yake.