Kikwangua anga cha kisasa kijijini

Kikwangua anga cha kisasa kijijini

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
293355_231966626859403_100001382032827_673055_1961283499_n.jpg
 
Hii ni aina ya nyumba zinazojengwa kwao na akina January Makamba
 
Yes! Cha kufa mtu tena. Afadhali kulala hapa kuliko kwa mnyamani.
 
Huu ni ubunifu wa hali ya juu baada ya maisha kuwa magumu, mtanzania wa kawaida kaamua nae autulize moyo wake kwa kuwa na kaghorofa ka udongo.Kazi ipo.
 
Hii picha nimeiona zaidi ya mara 100000 X 10^100000000
 
haaaa!!
Kumbe ndio new york hiii...aseeeeee??!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom