Kikuu vs AliExpress

Hata Aliexpress unalipa kwa M-pesa Master card na Airtelmoney Master card hakuna shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata dakika moja haishi wanakata pesa. Ukiona inachelewa Ni aidha pesa haitoshi au network inasumbua na order yako itakuwa ipo kwenye unpaid order list ukiangalia account yako.
Kwa kesi yako inaonekana pesa yako ilikuwa kidogo kulipia bidhaa uliyoitaka na ndio maana haikukatwa.

Mimi huwa najaza 255 Kama zip code.
Hivi uki confirm oda ukaweka na no za masta card inachukua muda gani kukata hela yao...maana kuna siku nilijarbu lipa nikakaa nusu saa bado pesa naiona nikaamua itoa huko......na pale zip code tunajaza nn

Sent using LEAGOO M12
 
Tena naona Airtel MasterCard wapo vizuri zaidi kuliko m pesa MasterCard. Airtel hawana mlolongo Kama voda.
Sijui wewe unaonaje mkuu.

Sent using LEAGOO M12
Da hii simu leago kaka ake na leago s8 nilimaind sana hii simu wamezitoa sasa azipo Ali express
 

Na mzgo unafika tu fresh...mbna kuna watu walinambia ni post code ya mkoa ulioko kila mkoa una wake sasa hapo ndo wananichanganya
 
Samahani mkuu naomba unijuze iyo zip code ndo nini?

 
Mzigo unafika fresh tu. Hii 255 Ni code ya Tanzania(Tanzania country calling code).
Sanduku lako la posta na Namba yako ya simu Ni muhimu kwa mzigo kukufikia mahali ulipo.
Kwa hiyo mzigo unafika fresh tu.
Mimi nimeshafanya order zaidi ya tano kwa utaratibu huo na zote nimezipokea zikiwemo simu,memory cards,earphones hand bags,etc.
Ni kweli kwamba Tanzania hatuna mifumo ya zip codes. Ila kupitia hii 255 inajulikana kwamba mzigo unaelekea Tanzania.
Na mzgo unafika tu fresh...mbna kuna watu walinambia ni post code ya mkoa ulioko kila mkoa una wake sasa hapo ndo wananichanganya

Sent using LEAGOO M12
 

Sawa ngoja nitakutafuta nikiwa nataka fanya malipo
 
Wakuu kwenye promo code unajaza nn
AliExpress

god is good
 
Ahsante kwa ufafanuzi sijawahi kununua bidhaa mitandaoni juzi nikajaribu kuingia ALIBABA kununua bidhaa cha kushangaza bei ya bidhaa ni USD 11 shipping cost ni USD 117 mpaka Sasa hivi sijaelewa inakuwaje shipping ni gharama kiasi hicho
Memwenyewe hii kitu siielewagi ndomana huwa natumia KIKUU japo sometimes quality huwa tatzo
 
Embu nisaidie nataka kuagiza simu lakini kila nikijaza option ya malipo naambiwa card yangu haisupport this currency. Mimi ninatumia airtel money master card. Sijui wapi nakosea.
Pili endapo nitafanikiwa kulipa je kuna garama nyingine- zaidi ya hapo. Mf kulipia kodi etc
 
Hahahhaaaa...umenimbumbusha kuna mshkaji alioda matairi ya alteza yake akaletewa vitairi vya matoi ya watoto....
Mara nyingi huwa ni makosa ya kuchagua ya mnunuzi. Hujasoma maelekezo vizuri, au preference. Inabidi kuwa makini katika kuagiza.

Kuna jamaa yangu kwa mfano aliagiza cover ya ipad, yeye akawa anajua ni ipad. Alivyoletewa cover akaanza kulalamika. Ila ukweli ni kwamba yeye ndo alikosea.
 

one month na sikuu kaza toka mzigo ununuliwe yaan kwenye estimation ya kudeliver wana error ya siku 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…