KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,154
- 40,946
Mkuu nitake radhi.......
Mkuu nitake radhi.......
Ndio namlia timing mkuu..........Mwana pichu imelowa tayari KikulachoChako unauweka mkuu
Mkuu nitake radhi.......
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Nipo na dada yake Shy land
aibu nimeona mimi jinsi ulivyokua huna swaggs
Sasa mkuu KikulachoChako mbona umekamata kiuno chako badala ya kukamata cha mwenyewe
Halafu kama vile unabembelezwa hutaki bana
Hapo pembeni kuna mguu wa mtoto, ni wa nani huyo? Wanamkomaza!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
mshana jr huyu jamaa KikulachoChako hana uwezo wakutoa hizo ng'ombe 30 ili amumiliki dada yangu.
Labda dada yake na mzaramo dada yangu hauna uwezo wakutoa View attachment 231542
View attachment 231542
Lazima ukae ugeni usio na mwaliko na umeshahemkwa lazima ukae nakwambia