mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,083
- 4,250
Sema nini umejitahidi sana na hivo vifungu ulivoweka vya ushahidi ndipo nilipokukubali.Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.
Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.
Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.
Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.
Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...
Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.
Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.
Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.
Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.
Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.
Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.
Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.
Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
Wakristo hawalogwi.Hio ni imani ile je uhalisia ukoje? Wakristo hawalogwi?
Sijaweka ushahidi😂Sema nini umejitahidi sana na hivo vifungu ulivoweka vya ushahidi ndipo nilipokukubali.
Umejitahidi sana.
Umeweka vifungu vingi sana anaebisha akubishie kwa hoja na vifungu kama ulivoweka.
Dogo,Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.
Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.
Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.
Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.
Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...
Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.
Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.
Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.
Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.
Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.
Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.
Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.
Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
Ungebisha kwa hoja ungekua umesaidia sana.Dogo,
Umri wako tafadhali?
Napinga.UKRISTO UMECHANGIA SANA IMANI ZA USHIRIKINA NA UCHAWI KUENEA DUNIANI
BILA IMANI JUU YA UKRISTO KUWEPO NA IMANI JUU YA UCHAWI ISINGEKUWEPO
Mapepo ni malaika waasi waliotupwa baada ya kumgeuka YahwehUchawi na mapepo ni mule mule , tofauti ni majina tu.
Kuamini Mungu kwenyewe ni kuamini uchawi, ila huo uchawi wa kuamini Mungu umeupitisha na kuufanya mtakatifu, umeupa ukiritimba, monopoly ya uchawi, uwepo huo peke yake mzuri, mwingine wowote uwe mbaya.Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.
Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.
Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.
Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.
Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...
Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.
Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.
Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.
Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.
Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.
Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.
Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.
Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
Upo sahihi kabisaKuamini Mungu kwenyewe ni kuamini uchawi, ila huo uchawi wa kuamini Mungu umeupitisha na kuufanya mtakatifu, umeupa ukiritimba, monopoly, ya uchawi, uwepo huo peke yake mzuri, mwingine wowote uwe mbaya.
😅😅Uchawi wanafanya binadamu tangu lin?Mapepo ni malaika waasi waliotupwa baada ya kumgeuka Yahweh
Uchawi ni uwezo wa binadamu kufanya mambo yasiyoelezeka kikawaida
Uchawi una nguvu na wala hautokani ma binadamu ,hakuna binadamu ana uwezo huo kwa sababu hata nguvu za Mussa pamoja na miujiza ya Yesu imetokana na uwezo wa Mungu..Upo sahihi kabisa
Zote ni nguvu zisizofafanulika ila zinavikwa sifa tofauti
Just bear with me, I'm trying to prove a point to these theists
Sorcery in its literal meaning, isn't part of christian lore/mythology
wanafanya binadamu, ila hizo nguvu si wanazitoa mahala fulani kwa njia fulani😅😅Uchawi wanafanya binadamu tangu lin?
Napinga.
Uchawi upo kwenye dini zingine ila sio ukristo
Najikita kwenye mantiki
Hakuna mahali popote kwenye bibilia shetani au mungu amehusishwa na uchawi
Ni kama majini, wao ni wahusika wa kiislamu tu, wanatumika kwenye misaafu ya kiislamu tu
Huwezi bibilia inazungumzia majini
Kila dini ina Lore(Simulizi) yake ya kipekee juu ya mungu, nguvu za giza na viumbe wasioonekana. Haziingiliani.
Kwahiyo Mungu akimponya mtu huo ni uchawi?Uchawi una nguvu na wala hautokani ma binadamu ,hakuna binadamu ana uwezo huo kwa sababu hata nguvu za Mussa pamoja ni miujiza ya Yesu imetokana na uwezo wa Mungu..
Hata uchawi ni sehemu ya nguvu za viumbe vyenge Mungu kama hata mashetani ,ambao walifukuzwa mbinguni kwenye mamlaka ya Mungu.