kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
- Thread starter
-
- #21
Mkuu nifafanulie apo kwenye uwezo wake wa akili kutoka kwenye tatizo lake kwenye ubongoAlikuwa na familia ya mke na watoto 2 ambaye badaye waliachana maana mafahali 2 hawakai zizi mmoja,Mke aliye zaa naye alikuwa na ajili kama yeye ndio maana hawakuwezana.
Badaye alimuoa binamu yake.Uwezo wake kiakili unatokana na tatizo kwenye ubongo wake na sio kwamba alikuwa na akili natural kama ilivyo kwa akina Nikola Tesla,akina Da Vinci au kina Isack Newton.
Nani alikuambia Albert alikufa masikini,MTU ambaye alikuwa na uwezo wa kufanya audience na Rais wa U.S.A wa wakati huo atakuwje masikini???Huyu mwamba ni maana ya genius kutokana na alivyodadavua mambo kwa weledi wake.
Tukija kwenye swala lako watu wa namna hii wapo isipokuwa kumekuwa na mabadiliko makubwa ya kijamii!.. naweza sema social psychology!.
Miaka ya zamani vitu havikuwa vingi kama wakati huu unakuta mtu anahusika na vitu vingi sana tena sana na kati ya kitu kikubwa kilichokuja kuharibu ni pesa!!.
We are focusing on finding money!!. Hao kina eistain na tesla walijihamasisha zaidi katika gunduzi na walikufa maskini tu japo waligundua vitu vikubwa sana!. Naweza sema walikuwa ktk wakati sahihi kwa gunduzi zao lakini haukuwa wakati sahihi kwa gunduzi zao kuwatengenezea fedha!.
Vichwa vipo mkuu isipokuwa vimeparanganyika si kifani!.. wenye pesa wamewawahi wenye akili.
Nyakati zimewabadili watu akili zao ila watu wa namna hiyo jua wapo.
Mkuu Nikola Tesla ndo tuko vip? Wasifu wake?Nani alikuambia Albert alikufa masikini,MTU ambaye alikuwa na uwezo wa kuganya audience na Rais wa U.S.A wa wakati huo atakuwje masikini???
Aliyekufa masikini ni Nikola Tesla na kwa kuwa hakuwa Raia wa kuzaliwa wa USA,hivyo alidhulumiwa Mali zake nyingi
Einstein mwenyewe hakuwa raia wa kuzalliwa marekaniNani alikuambia Albert alikufa masikini,MTU ambaye alikuwa na uwezo wa kuganya audience na Rais wa U.S.A wa wakati huo atakuwje masikini???
Aliyekufa masikini ni Nikola Tesla na kwa kuwa hakuwa Raia wa kuzaliwa wa USA,hivyo alidhulumiwa Mali zake nyingi
"The one that inferences my learning is education"Two things are infinite: the universe and human stupidity; and I'm not sure about the universe.
Huyu mwamba hatari Sana Ana quotation zaidi ya mia
Alikuwa na akili nyingi sana.Binafsi ni mfuasi wa life la huyu jamaa nikisoma wasifu wake adi najishangaa jamaa alikua nondo Balaa asa nimejiuliza kizazi chake bado kipo? Je imetokea specie nyingine kama yake? Vipi taarifa zake zipo?
Cheki quotation Moja wake hii.. "Life is like riding a bicycle. To keep your balance, you must keep moving."
"The measure of intelligence is the ability to change" .
Huyo jamaa anafua dafu kwa Albert Einstein?Alikuwa na akili nyingi sana.
Leo nilikuwa nasoma story ya quotes za Abdul Lateef Jandali wengi tunamjua kama Steve Jobs. Jamaa alikuwa na akili na maono sana
Hapana nadhani ni watu wawili tofauti na kila mmoja alifanya yake katika uwanja wake. Steve alizaliwa miezi 2 baada ya kifo cha EinsteinHuyo jamaa anafua dafu kwa Albert Einstein?
Sidhani kama dunia haijui cha kufanya!.. inajua sema system tu maana sikuhizi unakuta utaalamu unauzwa! Unaweza ukavumbua kitu na kikanunuliwa na watu wenye fedha zao.Kwa iyo mkuu unafikiri Dunia ifanye nini ili iweze kuwachambua hawa watu kwa maslai mapana ya na maendeleo ya Dunia?
Mkuu watu bado wanaendelea kuvumbua na kuchallenge hadi theory zao. Mfano kuna ugunduzi kuhusu black holes ambao una defy theory za Einstein.Sidhani kama dunia haijui cha kufanya!.. inajua sema system tu maana sikuhizi unakuta utaalamu unauzwa! Unaweza ukavumbua kitu na kikanunuliwa na watu wenye fedha zao.
Nafikiri ni heri kuhamasisha dunia ya kisayansi zaidi,kuleta changamoto ktk gunduzi mbalimbali pamoja nakuwa na dira katika mambo husika.
Ahsante kwa masahihisho mkuu nimejikuta nikiwaambatanisha wote ila ni Tesla ndo alikufa maskini.Nani alikuambia Albert alikufa masikini,MTU ambaye alikuwa na uwezo wa kuganya audience na Rais wa U.S.A wa wakati huo atakuwje masikini???
Aliyekufa masikini ni Nikola Tesla na kwa kuwa hakuwa Raia wa kuzaliwa wa USA,hivyo alidhulumiwa Mali zake nyingi
Na ndio tabia ya sayansi sio kwamba hawafanyi lakini ulishawahi jiuliza kwanini haya mambo hayafanywi na watu kutoka nchi za ulimwengu wetu..?Mkuu watu bado wanaendelea kuvumbua na kuchallenge hadi theory zao. Mfano kuna ugunduzi kuhusu black holes ambao una defy theory za Einstein.
Wagunduzi bado wapo na mambo yanaendelea kugunduliwa mkuu.
Steve job sio tu kumfikia bali kumsogelea,watu wanao endana na akina Einstein ni Akina Nikola Tesla na Leonardo Da Vinci.Huyo jamaa anafua dafu kwa Albert Einstein?
Haha au sioTupo mkuu sema siku hizi kinachothaminiwa zaidi ni Pesa.
[emoji41]