kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Alikuwa nayo sema ilijawa vurugu kiasi si unajua watu wa namna hii wanapenda sana kukaa kivyaovyao.Jamaa hukuwahi kuwa na familia
Tupo hapa ndio tunamalizikia malizikia huku Msambweni......Binafsi ni mfuasi wa life la huyu jamaa nikisoma wasifu wake adi najishangaa jamaa alikua nondo Balaa asa nimejiuliza kizazi chake bado kipo? Je imetokea specie nyingine kama yake? Vipi taarifa zake zipo?
Cheki quotation Moja wake hii.. "Life is like riding a bicycle. To keep your balance, you must keep moving."
"The measure of intelligence is the ability to change" .
Duh huyu mwamba huyu
Hahaha jamaa alikua anaikubali self kampan Sana.. If you want to live a happy life tie it to goal not to people or thingsSubtle is the Lord: The Science and Life of Albert Einstein.
Alikua nayo,alizaa na Dem mmoja hivi mkali wa hesabuJamaa hukuwahi kuwa na familia
Huyu mwamba ni maana ya genius kutokana na alivyodadavua mambo kwa weledi wake.Binafsi ni mfuasi wa life la huyu jamaa nikisoma wasifu wake adi najishangaa jamaa alikua nondo Balaa asa nimejiuliza kizazi chake bado kipo? Je imetokea specie nyingine kama yake? Vipi taarifa zake zipo?
Cheki quotation Moja wake hii.. "Life is like riding a bicycle. To keep your balance, you must keep moving."
"The measure of intelligence is the ability to change" .
Duh mkuu uko vizuri na huyu mwambaHuyu jamaa aliacha watoto watatu ila pia inavyosemekana huyu jamaa hakua Good parent sidhani kama alikua anaconsider malezi ya watoto vizuri kuna mwanaye mmoja alifariki akiwa na mwaka mmoja ila wakati anazaliwa alikua na developmental disability inaweza kuwa alikua na usonji (Autism), Down syndrome na mengineyo , wengine wanasema huyo dogo alikuja kuchukuliwa na familia nyingine ikamtunza akaja kufariki miaka ya 90. Kwa hiyo Eistein mwenyewe hakua mfuatiliaji wa familia yake [emoji1][emoji1]
Mwingine alipata Schizophrenia wakati ana miaka 20 wakati huo jamaa akahama zake nchi sikumbuki alienda wapi ndo kulikua na vita ya waNazi ,dogo nae hakutoboa akafariki ! Mwingine alikua ni professor wa Hydraulic Engineering kwenye chuo kimoja huko Calfonia Marekani !!
Duuuuh [emoji44][emoji44]Huyu jamaa aliacha watoto watatu ila pia inavyosemekana huyu jamaa hakua Good parent sidhani kama alikua anaconsider malezi ya watoto vizuri kuna mwanaye mmoja alifariki akiwa na mwaka mmoja ila wakati anazaliwa alikua na developmental disability inaweza kuwa alikua na usonji (Autism), Down syndrome na mengineyo , wengine wanasema huyo dogo alikuja kuchukuliwa na familia nyingine ikamtunza akaja kufariki miaka ya 90. Kwa hiyo Eistein mwenyewe hakua mfuatiliaji wa familia yake [emoji1][emoji1]
Mwingine alipata Schizophrenia wakati ana miaka 20 wakati huo jamaa akahama zake nchi sikumbuki alienda wapi ndo kulikua na vita ya waNazi ,dogo nae hakutoboa akafariki ! Mwingine alikua ni professor wa Hydraulic Engineering kwenye chuo kimoja huko Calfonia Marekani !!
Kwa iyo mkuu unafikiri Dunia ifanye nini ili iweze kuwachambua hawa watu kwa maslai mapana ya na maendeleo ya Dunia?Huyu mwamba ni maana ya genius kutokana na alivyodadavua mambo kwa weledi wake.
Tukija kwenye swala lako watu wa namna hii wapo isipokuwa kumekuwa na mabadiliko makubwa ya kijamii!.. naweza sema social psychology!.
Miaka ya zamani vitu havikuwa vingi kama wakati huu unakuta mtu anahusika na vitu vingi sana tena sana na kati ya kitu kikubwa kilichokuja kuharibu ni pesa!!.
We are focusing on finding money!!. Hao kina eistain na tesla walijihamasisha zaidi katika gunduzi na walikufa maskini tu japo waligundua vitu vikubwa sana!. Naweza sema walikuwa ktk wakati sahihi kwa gunduzi zao lakini haukuwa wakati sahihi kwa gunduzi zao kuwatengenezea fedha!.
Vichwa vipo mkuu isipokuwa vimeparanganyika si kifani!.. wenye pesa wamewawahi wenye akili.
Nyakati zimewabadili watu akili zao ila watu wa namna hiyo jua wapo.
Alikuwa na familia ya mke na watoto 2 ambaye badaye waliachana maana mafahali 2 hawakai zizi mmoja,Mke aliye zaa naye alikuwa na ajili kama yeye ndio maana hawakuwezana.Jamaa hukuwahi kuwa na familia
people with aliens blood don't have families.Binafsi ni mfuasi wa life la huyu jamaa nikisoma wasifu wake adi najishangaa jamaa alikua nondo Balaa asa nimejiuliza kizazi chake bado kipo? Je imetokea specie nyingine kama yake? Vipi taarifa zake zipo?
Cheki quotation Moja wake hii.. "Life is like riding a bicycle. To keep your balance, you must keep moving."
"The measure of intelligence is the ability to change" .
[emoji1][emoji1] Kizazi chake kimewahi kufutika !! Mwamba kinachomweka juu ! Ni kazi aliyoacha amefanya aseee ! Na hakuna hata mtoto mmoja aliyejaribu kubeba mikoba ya mzee !! 1921 jamaa ashalamba Nobel prize ! Ila nahisi pia kwa kuwa watoto wake wengi walipata matatizo !Duh mkuu uko vizuri na huyu mwamba