Kikosi cha wachezaji 23 cha Taifa Stars AFCON 2019 chatajwa

avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
3,355
Points
2,000
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
3,355 2,000
Kichuya ana umuhimu wake kwenye mpira , tusitarajie hali ya mpira ikawa ni pass tuu, lakini kuna wakati kutokana mazingira ya mechi inahitaji mtu mwenye spidi , chenga na kinganganizi. Tatizo kubwa la AMUNIKE ana allegy na anamchukia KICHUYA kama ilivyo kwa ZAHERA na KAMUSOKO. Kichuya sio wa kisportsport kama kocha anavyomchukulia, ana umuhimu wake hata alipokuwa SIMBA sisi yanga tulikuwa tunakosa imani anaposhika mpira sasa kama unaua kipaji chake poa tuu OGAAAAA!!!!!!
 
msukuma fekero

msukuma fekero

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
806
Points
1,000
msukuma fekero

msukuma fekero

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
806 1,000
Watanzania tunalalamika sababu tumezoea kulalamika na hata kulalamika hatulalamikii vitu vya msingi bali ni mazoea na ushabiki. Kwanza tujue Wachezaji wetu viwango vyao havipishani saana tofauti ni kujituma na exposure kidogo...
Tukianza na upande wa Goalkeeping makipa wote walioitwa ni wazuri na wana kiwango kikubwa sana wanastahili kuwepo ila wote wanakosa experience ni vijana wadogo na kukosa uzoefu ndo kutatucost lakini hamna Mtanzania alieliona hili na kulalamika KASEJA alistahili kuwepo hapa.
Tukija kwenye mabeki wa pembeni upande wa kulia ndo kuna mushkeli kidogo Kessy na Vincent Philipo hawajatulia kiviile Hapa PAUL GODFREY "boxer" alistahili kuwepo. Upande wa kushoto uko vizuri.
Ukija upande wa kati upo vizuri saana wengi wanalalamikia kutokuwepo kwa Banda lakini hata kitakwimu na kutazama soka Banda msimu huu hajafikia performance ya Nyoni, Moris, Yondani au Sonso kama kuna watazamaji wa TPL watakubaliana na mimi kuhusu performance ya Sonso sema wabongo tumekariri eti Banda afu advantage hapa Sonso na Nyoni wana uwezo wa kucheza namba sita (Kiungo mkabaji) na tumewaona wakicheza namba hizo vizuri tu kwenye timu zao.
Kwa upande wa viungo sijajua kwa nini SURE BOY, na MZAMIRU hawapo ila hata hao waliopo sio wabovu wanaweza kufit kutokana na viwango vya wachezaji wetu.
Kwa upande wa mawinga ni sawa kabisa Kichuya sio kivile ukilinganisha na Farid Musa ambaye kiwango chake kina improve. Watu wanalalamika pia Chilunda kuachwa ila huyu Chilunda wa sasa huwezi mlinganisha na Zayd hata kidogo no wonder Tenerife wamemtema.
Kwa upande wa washambuliaji nafasi ya Ulimwengu kocha angempa yule kinda wa U-17 ili apate uzoefu ni mzuri kuliko Ulimwengu mzee wa faulo.
Kwa MKUDE na AJIBU hao ni sawa tu kuachwa hawathamini vipaji vyao, tena kwa upande wa Ajibu nimemshuhudia mwenyewe na tabia zake kipindi akiwa Mwadui FC, anakuja zoezi anavaa viatu zaidi ya dk 45 akimaliza wenzake wnamalizia warm up akiambiwa anajibu anavyojua yeye.
Tukisapoti kikosi chetu ingawa kulingana na vipaji vya wachezaji wetu hatutoboi kokote hatushindi hata mechi moja na droo ni majaliwa
NB KAMA TUTAFUNGA GOLI/MAGOLI MSUVA NDO ATAKUWA TOP SCORER SIO SAMMATA Mark my words
katika timu nzima mchezaji wa kujitolea ni Msuva hao wengine hata kocha angekuwa Klopp tutapigwa nyingi tu
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,376
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,376 2,000
mara ya kwanza ulifanya nini hadi ukaja na id ile ya panzi
Nilikuwa na id ya Raphael wa Ureno wakanipa life ban, nikaja na Mbao nayo life ban, nikaja na Pembe nayo life ban. Nikaamua kuja na hii Viatu.

Baada ya kutumia hii ya Viatu nikawaambia waziunganishe zote kwa pamoja. Hii nayo naona iko hatiani kula life ban.. Id ya Pembe iliniuma sana eti nafanya mzaha jukwaani na ile hali nilienda Chit Chat kila kitu nilikuwa nafanya huko na walijuaje kama nafanya mzaha kama wao pia hawana mizaha?
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
9,669
Points
2,000
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
9,669 2,000
Nilikuwa na id ya Raphael wa Ureno wakanipa life ban, nikaja na Mbao nayo life ban, nikaja na Pembe nayo life ban. Nikaamua kuja na hii Viatu.

Baada ya kutumia hii ya Viatu nikawaambia waziunganishe zote kwa pamoja. Hii nayo naona iko hatiani kula life ban.. Id ya Pembe iliniuma sana eti nafanya mzaha jukwaani na ile hali nilienda Chit Chat kila kitu nilikuwa nafanya huko na walijuaje kama nafanya mzaha kama wao pia hawana mizaha?
Teh

Pole sana

Historia yako inafurahisha
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,376
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,376 2,000
Teh

Pole sana

Historia yako inafurahisha
Nilipokuwa natumia Facebook na Instagram ndipo nilikuwa serious na mitandao (nilikuwa mithili ya The Bold) ila nilipokuja huku sikutaka niendelee kuwa vile.

Wanaonijua wakinikuta humu hakika watanitenga kwenye jamii.
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
9,669
Points
2,000
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
9,669 2,000
Nilipokuwa natumia Facebook na Instagram ndipo nilikuwa serious na mitandao (nilikuwa mithili ya The Bold) ila nilipokuja huku sikutaka niendelee kuwa vile.

Wanaonijua wakinikuta humu hakika watanitenga kwenye jamii.
Kwa nini mkuu

Acha hizo kiongozi , tupe madini basi mkuu

Hao mods achana nao
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,376
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,376 2,000
Kwa nini mkuu

Acha hizo kiongozi , tupe madini basi mkuu

Hao mods achana nao
Sipendi tena kutumia mitandao kwa ajili ya kuelimisha ila nataka nitumie kuburudisha. Ndiyo maana nasema Pembe iliniuma sana, nilikuwa nimepata namna ya watu kuishi kwa furaha ila wakaona wivu kuwa huwenda naweza kuanzisha nchi ndani ya nchi.
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
9,669
Points
2,000
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
9,669 2,000
Sipendi tena kutumia mitandao kwa ajili ya kuelimisha ila nataka nitumie kuburudisha. Ndiyo maana nasema Pembe iliniuma sana, nilikuwa nimepata namna ya watu kuishi kwa furaha ila wakaona wivu kuwa huwenda naweza kuanzisha nchi ndani ya nchi.
mi nipo quora pia mkuu

Natumia id ya neurosurgy:amy victor

Karibu
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
9,669
Points
2,000
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
9,669 2,000
Quora huwa naingia kama nina shida ya jambo fulani, naenda nasoma ila sijawa member kule....
hakuna ban kule mkuu

Na watu wanaburudishana kuelimishana na kufurahia

Jumapili nilipewa ban ya siku moja et nlharbu mjadala

Kuna jamaa alikuja juu analalamika watu kuleta utan kwenye thread ...

Wote tulioleta utan kwenye ile thread

Ikiwemo mimi , shunie , hazard cfc

Tulikula ban

Teh

Mambo gani sasa haya
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,376
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,376 2,000
hakuna ban kule mkuu

Na watu wanaburudishana kuelimishana na kufurahia

Jumapili nilipewa ban ya siku moja et nlharbu mjadala

Kuna jamaa alikuja juu analalamika watu kuleta utan kwenye thread ...

Wote tulioleta utan kwenye ile thread

Ikiwemo mimi , shunie , hazard cfc

Tulikula ban

Teh

Mambo gani sasa haya
Hawa watu huwa wanajiona ni miungu vile.
 

Forum statistics

Threads 1,306,403
Members 502,074
Posts 31,579,441
Top