Uchambuzi: Yanga Ina ubora mkubwa kuliko Taifa Stars

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,211
Baada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo

Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake haufikii club ya Yanga mfano Kwa taifa stars......kadri muda. Unavyokwenda winning spirit is decreasing hii pia ipo Kwa Simba

Lakini hii ni tofauti Kwa Yanga .... kadri muda unavyokwenda.....ndivyo morali ya wachezaji..... inaongezeka Ili kumpiga mpinzani 5Gother things remain constant. ie. referees' neutrality

Nini kifanyike
1. Ikiwezekana taifa stars iweke Kambi pale Avici town ...Ili wale course za Yanga
2. Kikosi chote Cha stars kiwe na wanayanga watupu

3. 1 na 2 yote sawa

JamiiForums mobile app
 
Akili zako za kitopolo, unajua timu ya yanga ina wachezaji wangapi ambao si watanzania?
Sasa taifa stars itakuwaje na wachezaji wa mataifa mingine?
Hujui hata wachezaji wa timu ya taifa inakuwa na wachezaji gani. Topolo mkubwa wee.
kunywa maji mengi mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Moja ni timu ya mpira na nyingine ni timu ya siasa. Malengo yako tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom