Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,755
Wale siyo wa kuteka watakumalizia chakula na muda wako bure.Tuwateke mkuu
Wale ni wa kufungia jiwe shingoni na unawaweka kwenye ndoo ya maji ya kunywa.
Wale siyo wa kuteka watakumalizia chakula na muda wako bure.Tuwateke mkuu
HahahaWale siyo wa kuteka watakumalizia chakula na muda wako bure.
Wale ni wa kufungia jiwe shingoni na unawaweka kwenye ndoo ya maji ya kunywa.
Hahahaha unadhani naogopa ban mkuu? Ije tu.Hahaha
Aisee
Watakupa life ban mkuu
mara ya kwanza ulifanya nini hadi ukaja na id ile ya panziHahahaha unadhani naogopa ban mkuu? Ije tu.
katika timu nzima mchezaji wa kujitolea ni Msuva hao wengine hata kocha angekuwa Klopp tutapigwa nyingi tuWatanzania tunalalamika sababu tumezoea kulalamika na hata kulalamika hatulalamikii vitu vya msingi bali ni mazoea na ushabiki. Kwanza tujue Wachezaji wetu viwango vyao havipishani saana tofauti ni kujituma na exposure kidogo...
Tukianza na upande wa Goalkeeping makipa wote walioitwa ni wazuri na wana kiwango kikubwa sana wanastahili kuwepo ila wote wanakosa experience ni vijana wadogo na kukosa uzoefu ndo kutatucost lakini hamna Mtanzania alieliona hili na kulalamika KASEJA alistahili kuwepo hapa.
Tukija kwenye mabeki wa pembeni upande wa kulia ndo kuna mushkeli kidogo Kessy na Vincent Philipo hawajatulia kiviile Hapa PAUL GODFREY "boxer" alistahili kuwepo. Upande wa kushoto uko vizuri.
Ukija upande wa kati upo vizuri saana wengi wanalalamikia kutokuwepo kwa Banda lakini hata kitakwimu na kutazama soka Banda msimu huu hajafikia performance ya Nyoni, Moris, Yondani au Sonso kama kuna watazamaji wa TPL watakubaliana na mimi kuhusu performance ya Sonso sema wabongo tumekariri eti Banda afu advantage hapa Sonso na Nyoni wana uwezo wa kucheza namba sita (Kiungo mkabaji) na tumewaona wakicheza namba hizo vizuri tu kwenye timu zao.
Kwa upande wa viungo sijajua kwa nini SURE BOY, na MZAMIRU hawapo ila hata hao waliopo sio wabovu wanaweza kufit kutokana na viwango vya wachezaji wetu.
Kwa upande wa mawinga ni sawa kabisa Kichuya sio kivile ukilinganisha na Farid Musa ambaye kiwango chake kina improve. Watu wanalalamika pia Chilunda kuachwa ila huyu Chilunda wa sasa huwezi mlinganisha na Zayd hata kidogo no wonder Tenerife wamemtema.
Kwa upande wa washambuliaji nafasi ya Ulimwengu kocha angempa yule kinda wa U-17 ili apate uzoefu ni mzuri kuliko Ulimwengu mzee wa faulo.
Kwa MKUDE na AJIBU hao ni sawa tu kuachwa hawathamini vipaji vyao, tena kwa upande wa Ajibu nimemshuhudia mwenyewe na tabia zake kipindi akiwa Mwadui FC, anakuja zoezi anavaa viatu zaidi ya dk 45 akimaliza wenzake wnamalizia warm up akiambiwa anajibu anavyojua yeye.
Tukisapoti kikosi chetu ingawa kulingana na vipaji vya wachezaji wetu hatutoboi kokote hatushindi hata mechi moja na droo ni majaliwa
NB KAMA TUTAFUNGA GOLI/MAGOLI MSUVA NDO ATAKUWA TOP SCORER SIO SAMMATA Mark my words
Nilikuwa na id ya Raphael wa Ureno wakanipa life ban, nikaja na Mbao nayo life ban, nikaja na Pembe nayo life ban. Nikaamua kuja na hii Viatu.mara ya kwanza ulifanya nini hadi ukaja na id ile ya panzi
TehNilikuwa na id ya Raphael wa Ureno wakanipa life ban, nikaja na Mbao nayo life ban, nikaja na Pembe nayo life ban. Nikaamua kuja na hii Viatu.
Baada ya kutumia hii ya Viatu nikawaambia waziunganishe zote kwa pamoja. Hii nayo naona iko hatiani kula life ban.. Id ya Pembe iliniuma sana eti nafanya mzaha jukwaani na ile hali nilienda Chit Chat kila kitu nilikuwa nafanya huko na walijuaje kama nafanya mzaha kama wao pia hawana mizaha?
Hata wangeruhusiwa kupeleka ligi nzima na wote wacheze kipigo kiko palepaleMkuu nani angeenda tusingepigwa?
Nilipokuwa natumia Facebook na Instagram ndipo nilikuwa serious na mitandao (nilikuwa mithili ya The Bold) ila nilipokuja huku sikutaka niendelee kuwa vile.Teh
Pole sana
Historia yako inafurahisha
Kwa nini mkuuNilipokuwa natumia Facebook na Instagram ndipo nilikuwa serious na mitandao (nilikuwa mithili ya The Bold) ila nilipokuja huku sikutaka niendelee kuwa vile.
Wanaonijua wakinikuta humu hakika watanitenga kwenye jamii.
Sipendi tena kutumia mitandao kwa ajili ya kuelimisha ila nataka nitumie kuburudisha. Ndiyo maana nasema Pembe iliniuma sana, nilikuwa nimepata namna ya watu kuishi kwa furaha ila wakaona wivu kuwa huwenda naweza kuanzisha nchi ndani ya nchi.Kwa nini mkuu
Acha hizo kiongozi , tupe madini basi mkuu
Hao mods achana nao
mi nipo quora pia mkuuSipendi tena kutumia mitandao kwa ajili ya kuelimisha ila nataka nitumie kuburudisha. Ndiyo maana nasema Pembe iliniuma sana, nilikuwa nimepata namna ya watu kuishi kwa furaha ila wakaona wivu kuwa huwenda naweza kuanzisha nchi ndani ya nchi.
Quora huwa naingia kama nina shida ya jambo fulani, naenda nasoma ila sijawa member kule....mi nipo quora pia mkuu
Natumia id ya neurosurgy:amy victor
Karibu
hakuna ban kule mkuuQuora huwa naingia kama nina shida ya jambo fulani, naenda nasoma ila sijawa member kule....
Hawa watu huwa wanajiona ni miungu vile.hakuna ban kule mkuu
Na watu wanaburudishana kuelimishana na kufurahia
Jumapili nilipewa ban ya siku moja et nlharbu mjadala
Kuna jamaa alikuja juu analalamika watu kuleta utan kwenye thread ...
Wote tulioleta utan kwenye ile thread
Ikiwemo mimi , shunie , hazard cfc
Tulikula ban
Teh
Mambo gani sasa haya
hapa tunakula ban sasa hivi mkuuHawa watu huwa wanajiona ni miungu vile.
Ban yenyewe hadi ubembeleze.hapa tunakula ban sasa hivi mkuu
Tumegeuza jukwaa kuwa pm
Teeh