mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,965
Habari za asubuhi wananchi
Leo nimeanza kukumbana na kile kikosi cha mizinga ya CHRISTMASS. yaani mahusiano yaliyofifiaga yanaanza kunawiri , vile vimesegi vya beby NIKWAMBIE KITU?, zile namba ngeni ngeni Mara MAMBO??
wengine wanakuja wazi wazi kuanza kuomba magauni ya sikukuu.
Sijui kwa wadau wenzangu. Je? Umeshaanza kukutana na kikosi shupavu cha mizinga ?
Na wewe mdada umejiandaaje katika suala Hilo?
Tuoneane huruma jama