Mganga wa team.Je Bujibuji yupo kitengo gani
Ndiyo huyo huyo..ana ids nyingi..Mshana angefaa kupewa ile kamati ya ufundi kama ya Mzee Mpili.
Kocha angekuwa Gentamicin msaidizi wake wa kufanana naye ni Mighter
Anakosaje sasa kwa mfano, huyo ndo Mo wa JF Simba sasa.Angekosekana OKW BOBAN SUNZU kikosi kingekuwa batili