Kikombe kingine chagunduliwa mtwara!

Mbaliche

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
294
61
Binti mwenye umri wa miaka 11 amegundua dawa yakutibu magonjwa sugu, kama ukimwi na mengineyo, dawa inafahamika kwa jina la MKONG'OTO. Inaelezwa kuwa watuwengi kutoka msumbi, malawi wana kwenda kupata tibahiyo na kupona kabisa. Naomba wana Jf mlioko mtwara mfuatilie hilo swala mtujuze zaidi. Chanzo WAPO REDIO FM. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom