Kikokotoo cha pension cha zamani

Kikokotoo cha pension cha zamani

Evance dixon

New Member
Joined
Dec 3, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wadau naomba kujuzwa kikokotoo cha pension cha zaman kilichokua kikitumika kukokotoa mafao ya watumishi wa serikali
 
Kikokotoo limbikizi ni 1/540, kadirio la miaka ya kuishi baada ya kustaafu ni 15.5 na kiwango cha mkupuo ni 50% ya pensheni.
 
Back
Top Bottom