sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Hivi ukiamka ukakuta kitumbua chako hakipo utafanyaje?
Ataweka mkate wa kumimina..
Hivi ukiamka ukakuta kitumbua chako hakipo utafanyaje?
Ndoto zingine sio za kuota kabisa yaani chozi limenidondoka ndani ya ndoto baada kuona kikojoleo hakipo.
Imebidi nipige maombi kwenye ulimwengu wa roho nimemuona zubedayo_mchuzi akiwa ameshika usinga mweusi huku akipiga manyanga.
kwani mume sina!
Sasa subiria akija tena kwa style ya Kipopobawa!
Hutohadithia! Utakauka nayo ndoto kimyakimya!