Kikohozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikohozi

Discussion in 'JF Doctor' started by Zamaulid, Sep 26, 2012.

 1. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,336
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  Hello doctors!
  nina mwanangu wa umri wa miaka 2,amekuwa akisumbuliwa na kikohozi kwa muda mrefu sasa,ametumia antibiotics za kutosha,amekunywa dawa za kikohozi nyingi lkn tatizo liko pale pale!tatizo linakuwa more serious wakati wa usiku anakohoa na kutapika,na mchana unaweza usisikie hata akikohoa!!wakuu nini kinaweza kuwa tatizo na tiba yake ni ipi,nawakilisha!
   
 2. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Mpeleke hospitali kubwa kwa uchunguzi!ilishawahi kutokea kwa watoto wa ndugu zangu tulikuwa tunaishi nao walikuwa wanakohoa sana Tuliwapeleka Agha khan Hosp. wakaambiwa wana Mzio (allergy) wakapewa dawa moja kama ile wanaojipilizia watu wenye pumu,tukazidisha na usafi ndani ya chumba chao kuondoka magodoro na kuweka mapya na kuzidisha usafi ndani ya chumba wanacholala aisee lile tatizo halikujirudia tena!
   
 3. d

  dkn Senior Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ameshatumia dawa za michango (worms), inaweza pia kuwa sababu kubwa anakuwa anakereketwa akiwa amelala anakohoa sana na mara nyingine anatapika. Ni kweli mchana anakuwa normal hana tatizo ila usiku hamlali kwa kukohoa, pia jaribu kumpa chakula mapema kabla ya kulala kiwe digested vizuri kwa kipindi ambacho anatapika walau chakula kiwe kimeingia mwilini.
   
 4. C

  Concrete JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ni vema kama utakwenda kuonana na daktari hasa daktari wa watoto(Paeditrician).

  Inavyoonekana tatizo hilo is more Allegic(it common in children), foreign body inhalation or worms rather than infection(Bacterial or viral) hivyo Antibiotics haiwezi tibu kiini cha tatizo, zaidi inaweza kutibu secondary infection ama ikaleta complications due to drug resistance or drug side effect.

  But what about sero status of child? (Maana kuna kitu kinaitwa PTB, PCP. Kama immunity iko chini hivi vitu vinapiga mbaya mithili hiyo but sio usiku tu although usiku inakuwa mbaya zaidi)

  Lakini ngoja tusubiri wataalam waje hapa watatujuza zaidi.
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,336
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa ushauri kiongozi,tumeshampatia dawa za worms na tunaendelea kumpatia kila baada ya angalau mwezi.
   
Loading...