Labda kama wanarudia hizo picha. Au una maana nyingine ya sekondari?Sasa hivi si uko secondary?
Nilikuwa standard 7Matoleo ya hili jarida ikiwemo hiyo picha nimekuwa nikisoma nikiwa primary!
Mapungo ilikuwa kwenye AmbhaSijamwona , Mapung'o apo?
Hili jarida nilikuwa nalifuatilia sana! Ilikuwa burudani sana. Umenikumbusha mbali sana.View attachment 1109083
1. Kipepe
2. Kapelo
3. Mgosi Agosingw
4. Kobelo
5. Masharubu
6. Mzee Meko
7. ....
8. .........
9. Madenge
10. .....
11. Ndondocha
Yule ni kiko si cha ma born town
#7 ni Njomba nchumali kama sikosei kuna day tifu lilipotokea ye kaenda kuleta nyuki uwanjani!Bush Stars kwenye mazoezi ndio walikua wananiacha hoi!
Ndio alikuwa Kagere waoSijamwona , Mapung'o apo?