Kiki za Traore zimeishiwa pumzi 🤣

Kiki za Traore zimeishiwa pumzi 🤣

Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai!

Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa.

Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake.

Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje?

🤣
Hili chawa la uvccm sijui linataka nini...kumbuka,no reform no election
 
Nasoma comments na kujichekea tu, nilitukanwa sana kisa huyo muigizaji na magwanda yake....
 
Traore Kama Dogo Pattern Tu...."Afande Nilegezee Kambaaa..AAAšŸŽ¼šŸŽ¼šŸŽ¼šŸŽ¼šŸŽ¼šŸŽ¼.."
 
Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai!

Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa.

Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake.

Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje?

🤣
Kashaanzisha kiwanda chi simu ndo basi tena
 
Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai!

Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa.

Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake.

Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje?

🤣

Hao wa tabata asavali sisi wa Tandale kwa tumbo ndo tunamjua vizuri Traore. Mwamba sana yule jamaa kaigeuza Burknafaso mpaka imeanza toa misaada ulaya na marekani.
 
Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai!

Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa.

Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake.

Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje?

🤣
Unaleta kick na majigambo kwa kutegemea backup ya China na Urusi, halafu ghafla unaona k8nachoendelea kati ya Iran na Israel huku China na Urusi wapo na wamepiga kimya wakiendelea na mishe zao wakati ndiyo wanao muuzia silaha kwa wingi na waliokuwa wakiiam8n9sha dunia kuwa watamlinda, hata ungekuwa weqe ndiyo Traore ungeendelea kushindana na Zuchu au Mwijaku kutengeneza clips za mitandaoni?

Russia tangu juzi anajadiliana na Ayatolla kuhusu kumsaidia asylum yeye na baadhi ya watu wake.
 
Nothing last kila kitu kina season high season na low season, sasa kama alianzia na high season sasa huenda yuko low season kutokana na kichwa cha uzi huu
 
Back
Top Bottom