Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu
Kwenye hali kama hizi wasanii wakubwa hutumika sana kutengeneza matukio.. Lakini this time around, mambo yalikuwa tofauti sana! Trending za matukio ya wasaniii zilipotezewa vibaya mno! Watu wakawa ni NO REFORMS NO ELECTION kila mahali
Ujio wa DERBY YA KARIAKOO umebadilisha upepo wote.. Kuna maamuzi ya wiki hii yamefanywa kwa nia maalum..lakini ovu kwa mustakabali wa soka la bongo
TFF ndio msimamizi anayetambulika kisheria .. Hakukuwa na haja ya kuwahusisha wanasiasa.. Sasa baadhi ya viongozi wamejiuzulu na wengine kusimamishwa kwa kinachosemekana ni shinikizo la wanasiasa
Kuna viongozi wa timu husika kwenye Derby ya kariakoo wameenda Dodoma 'kusuluhishwa' (mvurugano mwingine huu) maana inasemekana baadhi ya viongozi waliokwenda hawana ridhaa ya wenzao
Derby imesogezwa mbele tena kutoka tar 15 June mpaka tar 25.. Tatizo limezaa tatizo
Mvurugano uliokuwa umetengenezwa yanga sasa umehamishiwa Simba.. Mambo ya NO REFORMS NO ELECTION kidogo yamesahaulika wananchi wako busy kujadili derby ya kariakoo.. Ni vurugu mechi kila mahali
Wanasiasa wamefaulu kwa muda kwenye hili lakini litaacha makovu na hasara ya muda mrefu kwenye sika letu.. Derby itapoteza ladha na msisimko wake...
Hakukuwa na maana yoyote kuisogeza tena mbele Derby ya Kariakoo.. Ndio maana FIFA wamekataa wanasiasa wasijihusishe na soka!