Unajipandisha level bure. Ushaona interview ngapi tangu umezaliwa? Probably hata kifurushi cha CNN huna. Kama umezoea imterview platform za akina A. Masako, then hii nadhani siyo size yako.Interview ya hovyo tangu kuzaliwa kwangu ndio hii nimeshuhudia leo..Yaani haina mpangilio pia Kikeke anauliza maswali nadhani pia alikuwa na majibu yake.
Usilete Mambo ya Mungu hapa JF, the home of Great Myths and Lies.Mungu yupo juu(facing the skies) hayupo chini wala upande fulani wa dunia (not west east north or south)!!!! discuss.
Leo wakati akimhoji Maalimu Seif juu ya uchaguzi wa Zanzibar, Salim Kikeke mtangazaji wa BBC, aliishia kupigishana makelele na Maalimu Seif kwani kila mmoja alikuwa anaongea kwa sauti.
Huu ndio utaratibu wa kuhoji watu Salim?
Mbona huyu Kikeke nilimsikia BBC English service anamwaga English safi sana ambayo mara ya mwisho mimi kuisikia English ya kiwango hicho kutoka kwa mbongo ilikuwa ni MkapaSalim kikeke ameshindwa kuficha ukijani wake anataka kupigana ila simlaumu cv yake nasikia hata diploma ya uwanahabari hana ni mchimba mgodi wa chini na muendesha vpindi vya mziki hapa tz enzi hizo.Ni mwanahabari mwenye CV ya chini kule Uk .Asubir tu DED ,RAS ,RC au DC
Katika hard talk inaruhusiwa kupigizana kelele na unayemhojiLeo wakati akimhoji Maalimu Seif juu ya uchaguzi wa Zanzibar, Salim Kikeke mtangazaji wa BBC, aliishia kupigishana makelele na Maalimu Seif kwani kila mmoja alikuwa anaongea kwa sauti.
Huu ndio utaratibu wa kuhoji watu Salim?
kwanini basi serikali hiyo anakamata na kutesa watu ovyo?
wewe nenda kanywe mbenge tu ndio ikufaanyo mzee. ivi wewe kwa ujinga wako hili kada la CCM jecha ataitangaza CUF kuwa ndio ilioshindaNimefurahishwa sana Salimu Kikeke alivyomuhoji Seif
Kwasababu Seif hakuwa na hoja za msingi kwanini hwakushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar
Acha ushabiki wewe yaan sijui watu wa Tz mnatumia akili gan? Hakuna Siku mfuasi wenu anakosea kila siku yuko sawa , acheni ushabiki usio na maanaSalim Kikeke AMESHINDWA KUONYESHA WELEDI WAKE. Yeye ndio kamwita Maalim Seif studio halafu badala ya kumpa nafasi ajibu yeye anampigia kelele. Hii ndio extremely unprofessional episode toka BBC SWAHILI niliyowahi kuona. Ni kama Sam Mahela si alipomhoji Mch. Peter Msigwa. Hua wanaogopa kwamba baadhi ya majibu yanayotolewa YATAWAKERA WATAWALA FULANI.
Mpumbavu we, hivi we CV yako ikojeSalim kikeke ameshindwa kuficha ukijani wake anataka kupigana ila simlaumu cv yake nasikia hata diploma ya uwanahabari hana ni mchimba mgodi wa chini na muendesha vpindi vya mziki hapa tz enzi hizo.Ni mwanahabari mwenye CV ya chini kule Uk .Asubir tu DED ,RAS ,RC au DC
Salim anataka maalim seif amjibu anavyotaka, ni aibu mtangazaji kutaka kumpangia mtu cha kujibu.
Ni kwa sheria ipi jecha alikuwa hoja ya kufuta uchguzi wa octoberMaalim hana hoja ya msingi kwa kutokushiriki uchaguzi wa marudio,alikataa mwenyewe kushiriki kwa kujua kua kura zake fiki zimeshagundulika na hivi sasa anataka serekali ya mpito baada udanganyifu wake kwa wafuasi wake kua ataapishwa tarehe 49 umegonga mwamba na akaja na mpya kuwa Rais Shen mwezi wa 7 atakuja kuondishwa na umoja wa mataifa kiufupi mtu huyu anataka kuolewa na huku akiwa bado ujane anautaka
uchaguzi km umeharidika unategemea kufanyika nn km sio kurudia?na hii Zanzibar sio ya kwanza kurudia uchaguzi na Zanzibar pia uchaguzi kurudia sio mara ya kwanza huko nyuma kabla ya mapinduzi kuna uchaguzi ulirudiwa si bado nikawaida sanaHivi katiba ya Zanzibar inataja uchaguzi wa marudio?