Kikatuni cha Museveni na Magufuli ktk XYZ show.

Hiyo katuni ina ukweli. Dikteta asiyejijua ka ni dikteta, yeye anajihisi yupo sawa kabisa anadhani anafanya kitu watu wanataka kumbe wanamuunga mkono kwa uoga tu huku moyoni wanawish jamaa asingekuwepo. Akiamini yupo right kwenye kitu ukipinga mara moja tu unebebeshwa mizigo kama sio kuishia jela, au ghafla unatekwa na watu wasiojulikana.
 
Hiyo katuni ina ukweli. Dikteta asiyejijua ka ni dikteta, yeye anajihisi yupo sawa kabisa anadhani anafanya kitu watu wanataka kumbe wanamuunga mkono kwa uoga tu huku moyoni wanawish jamaa asingekuwepo. Akiamini yupo right kwenye kitu ukipinga mara moja tu unebebeswa mizigo kama sio kuishia jela, au ghafla unatekwa na watu wasiojulikana.
Eti kuna wengine wameongezea kwa kusema pamoja na udikteta lakini pia ni mdini na mwenye kupenda ukanda wa ziwa kuliko maeneo mengine ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gado hana writers wazuri. Yaani vituko vyote anavyofanya matakatifu ameshindwa kuzitumia kwenye katuni ya mtakatifu. Pia hata sauti ya mtakatifu anaweza kupata mtu anaipatia zaidi
Amejitahidi sana

May Allah bless Me and You
 
Gado kesho Lete MKOJO

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom