Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 2,938
- 5,591
Ukiristo unabeba madhehebu
Mbona ukristo na hizo dini unazo ziita za mzimu ni yale yale tofauti ni matamushi na utaratibu ila wote hutagemea na kuabudu viumbe vilio pita au kufa... wala ukristo hauhitaji kuwa dini maana dini hata za mizimu zipo! Salvation in Jesus Christ the Savior ndio mpango mzima. Na kila goti litapigwa; hakika kila ulimi utakiri Yesu ni BWANA.
Katiba na Sheria za Kibinadam hazitatui matatizo bali zinazidisha. Hata ziweje.Nakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Kwani uisilamu, una madhehebu mengi tu mfano: Budha,shiha,Suni n.kNakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Wala siyo jambo la kushangaza kwa sababu Hata Yesu mwenyewe alisema Hakuja kuanzisha diniNakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Eee joto tena? Kwaiyo anatakiwa kupandwaSikia sista, hii hoja nimeleta ipo kwenye katiba ya nchi, ni yenye mashiko. Kama upo kwenye joto useme usaidiwe lakini siyo kutafuta ugomvi na watu.
lolzNakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Acha kupotesha watu eti ukristo ni mfumo wa maisha,... haya basi nionyeshe sheria ya miradhi kwenye biblia kama ukristo ni mfumo wamaishaWala siyo jambo la kushangaza kwa sababu Hata Yesu mwenyewe alisema Hakuja kuanzisha dini
Kwa mujibu wa Biblia ukristo siyo dini...
Ukristo ni Imani inayotupatia Mfumo wa Maisha
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nimesharipoti hii thread itafutwa pundeNakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Ina shida gani?Nimesharipoti hii thread itafutwa punde
Tulia ule ban Kwanza. Akili ikukae sawa[
Ina shida gani?
Ushamba ni mzigo mkubwa.Tulia ule ban Kwanza. Akili ikukae sawa