syli mchunguzi
Member
- Jul 14, 2021
- 49
- 42
Acha kuchanganya Kati ya dini na madhehebu
Sawa,Nakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Nani aliwaambia kuweni Wakristo?
Unaonesha hata unachokibandika hukielewi kuwa hizo ni hadithi za kibinaadam tu.
Unajua Uislamu una madhehebu mangapi?Nakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Unaonesha hata unachokibandika hukielewi kuwa hizo ni hadithi za kibinaadam tu.
Huelewi hilo? Ni porojo kama unazopiga wewe sasa hivi.