Kikao mwezi mmoja baada ya ndoa ya nini jamani???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Aku
mi siwambii muache kuoana lakini kama kuna muda wakuendelea kuchunguzana embu chunguzaneni tu
mtumpunguzie matumizi ya vikao visivyo na per diem jamani
jana nimeenda kwa jamaa yangu nikakuta wanafamilia wengi nikahisi ni msosi ama shukrani ya ndoa
muda si mrefu jamaa akanitumia kaka huku si simba wala yanga nikauliza maanake nini akadai wametibuana
na familia yake kisa kurudi usiku,,jamanina sie wanaume kama umeoa unangania kurudi usiku ya nini???
Mbonahivyooooooooooo wandugu kama amkujiandaa si mngebaki kwa wazazi wenu muendelee
kuitana ma sweet ma orange chocolate etc,,,kisa nini hasa embu kama we ni ndugu yetu mwenye ndoa
yenye furaha tupe msaada kwa vijana wetu tuwasaidiaje...jamani
 
Problem is not getting married pal, suala ni kuchunguzana na kufahamu uhuru wa kila mtu, kabla na baada ya ndoa. Unajua iko hivi:-
- mnapokuwa marafiki (kabla ya ndoa), kukutana ili kuwa pamoja huwa ni kwa nyakati maalum tena wakati mwingine kwa appointment.
- kuna kuulizana maswali ikiwemo upo wapi honey, unafanya nini saa hizi, and in most cases kuna kupeana pole iwapo mpenzio amekwambia kuwa yupo kazini mpaka muda wa usiku!
PROBLEM: Mnapooana, mnakuwa pamoja kwa wakati mwing kila siku. Uwepo au Kutokuwepo kwa mwenzio kwa nyakati fulani, huleta impression tofauti hasa baada ya kugundua vijitabia fulani fulani alivyonavyo mpenzio ambavyo hukuweza kuvifahamu kabla ya kuoana!
SOLUTION: - Mvumilie mpenzio iwapo vijitatizo alivyo navyo ni vidogo (Just learn to live with them).
- Hakuna haja ya kukwaruzana. Hata kama anawasiliana na his/her ex, itafika wakati ataacha tu baada ya kuona kuwa wewe ndiye umwonyeshao upendo wa kweli.
- Hakuna haja ya vikao, msome mwenzio ujue anapenda nini, na kipi hapendi ili mwende sawa. Hardly kukuta kuwa mnaendana kwa kila kitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom