Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
- Thread starter
- #41
Wee dadaWewe mwenzetu Kupe, unajiona umeyanyoosha maisha kwa kuwanyonya Madangavwa Kihindi na waarabu.! Tupe michonho sie mahohe hahe
Wee dadaWewe mwenzetu Kupe, unajiona umeyanyoosha maisha kwa kuwanyonya Madangavwa Kihindi na waarabu.! Tupe michonho sie mahohe hahe
Hujajibu swali..naona unapenda madanga ya kiarabu😷
Wee dadaWalengwa ,kikao kimeanza au bado ni kutafuta muda muafaka,
Naona Kuna walengwa wanalenga na maneno...
Yaani dah, itakuwa wana wawakilisha wake zao.
Haya, mshindi weweUlitaka nizlishe kingine nini dada ake ?? Maziwa unayo wewe mie mbegu nikurutubishie yai [emoji16]
Hujajibu swali..naona unapenda madanga ya kiarabu[emoji40]
Wee dada
Ntashukuru mkuuMie ndio danga la wahindi na wale watalii wanaokosa nauli za kurudia kwao, vipi Mkuu nawewe unataka uje udange upate hela ya Mchezo ??