Kikao muhimu Cha wanawake wote karibuni nyote

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,553
45,825
Hivi unajua unaweza kupata mkopo kwa asilimia 10 Hadi 2 hapa tz?
Au kukopeshwa mashine yoyote China ukafanya uzalishaji ukalipa kidogo kidogo up to ten yrs???
Naomba tupange siku ya wkend mseme saa na dakika .tuwe online wote tujadili
Wanaume wote mnakaribishwa pia.kuliko uchukue mkopo kwa jina lako unaweza kutumia jina la wife ukapata riba cheap sana malkia account, au favour za vikundi etc tutaongea siku hyo.tuache kujadili mapenzi tu humu mapenzi yenyewe hamna wala hamyajui.
Tutakuwa na walimu experienced na haya mambo.kila swali litajibiwa.kwa sababu muda ni huo huo hakuna wa kujibu Tena baadae naomba tupange muda kwa pamoja
Siku itakayopendekezwa na wengi ndo itakayochaguliwa
 
Nimeumia umesema mapenzi hatuyajui!?
Wala tunda kimasihara wametuponza.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Bila hela hakuna raha bna
Acha wasiwasi wewe kula maisha.

Laki tatu kwanza yenyewe inakutosha kuvaa na kula ht mwezi
JamiiForums1370853943.jpg
IMG_20210609_140058.jpg
JamiiForums392731976.jpg
images%20(2).jpg
FB_IMG_1619120117965.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom