Kwa kuwa kikao ni cha wanaume
mi namuwakilisha mme wangu...
mi nadhani na njaa nayo inachangia wanatumia hizo id kupiga mizinga
make najua kuna maboya wanahudumia hata watu wasowajua
igweeeeee....
Dah..sikutumii tigo pesa tena. nisije kuwa boya bure
Nimeishamuita shemeji yako anakuja mda si mrefu kwenye hiki kikao so nihudimie tu wakunibeba yupo
Ukisikia umbea ndo huo, kikao cha wanaume unajipitisha ili iweje?!!:A S 39:
Usinambie hujawahi kuhongwa humu, asee kaoge baharini fasta...
Uthibitisho wa kuridhisha, kuhitimisha, na usiopingika kuwa kuna mwanaume anatumia ID ya kike uko wapi?
Mme wangu yupo kazini nimekuja kumuwakilisha bana heeeee
hahaaah jamani mnaendesha kikao bila vinywaji loooh
unatumia kinywaji gani?
mimi nawasalimia tu kikaoni
MNATUMIA VINYWAJI GANI?
Umbea huo!! wewe umeona wapi hatunywi, muone mama cha kubimbi!!!
Naomba ULANZI.
embu leta GONGO yani siwaelewi kabisa shem
gongo la LEO HALIJATIWA MAJI UMEPATA dakika ,oja
leta basi we mwanamke acha lomoni ahh letaaa GONGOOO
hahahaa unaujua MKOMBOJI??
Kiroba jogoo...unatumia kinywaji gani?
Kiroba jogoo...