Kikao cha wanaume

wanaume kama mabinti!!..kwa wale wanaume wenye ID's mbili tena ya kike,.huo ni ushoga,nashukuru mungu nilizaliwa wakike,ningekuwa mwanaume ningewatawanya chamber zao!..naomba maji baridi masai dada.
 
Halafu, hivi mtu utajuaje kwamba fulani humu ana ID ya kiume na ya kike, ilhali huyo mtu hata hujawahi kukutana naye maishani?

Mtu hamjuani kabisa, lakini bado kuna watu watakuwa na chutzpah ya kujifanya wanakujua kupitia hizi IDs za humu.

Nani keshawahi kukutana na mimi humu ana kwa ana? Aliyewahi na anyooshe mkono🙂.
 
thats what makes JF live longer...
 

Ni wachache wanajuana humu physically wamewahi kuonana ila unajua huyu ni mwanaume au mwanamke kwa maelezo yake yeye mwenyewe yanayotokana na koments zake.
 
Ni wachache wanajuana humu physically wamewahi kuonana ila unajua huyu ni mwanaume au mwanamke kwa maelezo yake yeye mwenyewe yanayotokana na koments zake.

Mtu yeyote mwenye akili hawezi kujua jinsia ya wachangiaji humu kwa kutegemea michango yao tu.

Anaweza kudhani kuwa labda huyu jamaa jinsia yake ni hii ama ile kutokana na vile mtu anavyochangia lakini kamwe hawezi kujua kwa namna hiyo.

Sasa, kuna tofauti kubwa sana kati ya kudhani na kujua. Natumai unaijua hiyo tofauti.

Let the street law grad in me come out.....
 
wanaume kama mabinti!!..kwa wale wanaume wenye ID's mbili tena ya kike,.huo ni ushoga,nashukuru mungu nilizaliwa wakike,ningekuwa mwanaume ningewatawanya chamber zao!..naomba maji baridi masai dada.
masai dada kuna mtu ana kiu huku
 

kuwa great thinker haiitaji kuonana kugundua mambo ya kina Gilesi
 
Last edited by a moderator:
Ss wanaume tunadhalilidhwa kwa kweli yaan wanawake tumieni hii fursa kuandamana ili kuutokomeza ushoga mana idadi ya wanaume wa kuwaoa inazidi kupungua !!!!
 

Iko sawa mkuu
 
Unamaanisha mashalah na aliyejaaliwa sio? hawa vidume wanamambo yakushangaza sana
 
Godfather bwana.

Could it be unanisaidia because it is the only food am eating with relish?

Nimepika jana leo nikamalizia kiporo,za chumvi lakini.

And what is this about mtindi?

maisha Ni kusaidiana my Karucee, naomba unipe fursa ya kukusaidia...
mtindi Ni maziwa ya mgando, napenda kuchanganya na kande...kitamu hicho!!!
 
Last edited by a moderator:
"Oh okay. I guess I'm not a great thinker then. Never have and never will. I'll forever be a mediocre one.

sijamaanisha kuwa wewe sio great thinker lakini kugundua huyu ni mwanamke na huyu anajifanya mwanamke very simple kuna tabia halisi ambazo mwanamke anazo ambazo hao wanaoact uanamke hawataweza kuiga mfano staha mwanamke lazima awe na staha haijalishi yuko nyuma ya keyboard or whatever
 

Umeumia sana.pole
 
mhhhhhhhhh zipoje hizo kande

miss neddy, Ni kande za kawaida lakini nikila nachanganya na mtindi(maziwa ya mgando)..
Nina uhakika umri wako haukuruhusu kula kande!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…