Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,838
Habari ya muda wanajamii naomba tujadiliane hili katika jamii yetu tukiwa kama wanaume karibuni
Najua hapa kijijini kwetu kuna uhuru wa kuongea bila kuvunja sheria za kijiji nami natumia uhuru huo huo,Langu moja tu ni kuhusu hizi fake ID. Wote tunatumia fake ID na zinasaidia mambo mengi,zinafanya mtu unatoa lolote la moyoni bila kujali lakini kuna watu wanazo Id mbili mbili sio shida kwakuwa sheria za kijiji zinaruhusu
Sasa hili la mwanaume kutumia ID ya kike linamaanisha nini? Humu ndani kama jina la kijiji linavyojieleza watu wanajenga mahusiano,wanatengeneza urafiki,sasa kama mwanaume unapotumia ID ya kike unataka kutuambia nini? kwamba unafurahi wanaume wanavyokutongoza? au unafurahia unavyotoa maada kama mwanamke na watu wanavyotoa maoni yao,furaha inakuwa wapi haswa? sijui kama kua wanawake wanatumia ID ya kiume pia ila nauliza tu kwa wanaume wenzangu hili mnalichukuliaje?
Uhuru unapopitiliza madhara yake ndiyo haya sijui mpaka mtu unatumia ID ya kike unakuwa umefikiria nini? kama kuna wanaume wanapumuliwa visogoni basi waandike zile ID zao Ant fulani ili mtu anapoomba urafiki ajue ni rafiki wa aina gani aliye naye.
Ni hilo tu ndugu zangu sijui na wewe kwa mtazamo wako unalionaje hilo,ni vizuri ukachangia maada iliyowekwa maana wengine mtaanza kusema ooh umekutana nayo hapana ndugu sijakutana nayo ila nimeona niulize tu kwenu mnalionaje,na kama halijakaa sawa basi tuungane tulipinge hilo kwa sauti moja hata hao watunga sheria wanaweza kubadilisha kama mtaona ni vema

********************
Karibuni
Cc: kwa wanaume wote na wanawake karibu mtuambie mnajisikiaje mwanaume akitumia ID ya kike?Karibuni