Kikao cha kumi cha bunge la JF

Spika: Klorokwini
Naibu: Ze boss
M/kiti: Preta
Waziri mkuu: Asprin
m/kiti kamati ya nidhamu: PakaJimmy + INVISIBLE
Wabunge: Kila atakaye ichangia hii thread.

MAADA : Ushoga na ndoa za jinsia moja.

Klorokwini: Haya ndugu wabunge , maada ndoo hii naomba michango yenu. Atakaye leta vurugu namtoa nje sasa ivi.

Asanteni

View attachment 40583

Inaonesha wewe ni Dikteta, hao viongozi wamechaguliwa na nani?
 
Hapo kwenye red kama umenisemea mh mbunge, lakini kwa kuongezea, kuna mbunge anasema hayo ni maisha binafsi na hivyo kuhararisha ushoga au usagaji haimuhusu, swali je endapo yeye ni mwanamke na ameolewa kwa muda wa kutosha na akijakugundua na kuhakikisha kuwa mmewe ameolewa na mme mwingine atakwepa kuguswa na hilo jambo? ikiwa ni kaka zake pia haitamgusa? Jamani tunaelekea wapi?

JF inachekesha kweli, eti tunajiita waheshimiwa wabunge!!! Nimecheka sana kwa kweli.
 
Spika: Klorokwini
Naibu: Ze boss
M/kiti: Preta
Waziri mkuu: Asprin
m/kiti kamati ya nidhamu: PakaJimmy + INVISIBLE
Wabunge: Kila atakaye ichangia hii thread.

MAADA : Ushoga na ndoa za jinsia moja.

Klorokwini: Haya ndugu wabunge , maada ndoo hii naomba michango yenu. Atakaye leta vurugu namtoa nje sasa ivi.

Asanteni

View attachment 40583

JF inachekesha kweli, eti tunajiita waheshimiwa wabunge!!! Nimecheka sana kwa kweli.
Mhe mbunge wa....., kama ulicheka basi umejicheka kwa kuwa nililolisema limetolewa mwongozo na mh muanzisha hoja kama nilivolionesha kwenye underlined blue hapo juu.
 
Back
Top Bottom