Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,227
Sina imani na spika....naomba taratibu za kuwasilisha hoja binafsi!
Sina ina imani na spika, yuko kambi ya Cameroon oops no yuko kambi ya 2015, ila na imani ya naibu wake. Tupige kura ya maoni kumpandisha Naibu awe full spika.