Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,046
chadema hata wafanyeje , hawana sabuni ya kumsafisha Lowassa.
No matter what ! ccm should go!!
chadema hata wafanyeje , hawana sabuni ya kumsafisha Lowassa.
Kweli kaa tu pembeni mkuu.Smtm jf inaleta raha sn. Huyu mtu wenyewe mlimtuhumu fisadi sasa sijui mlitumia vigezo gani. Leo mnasema ni msafi napo sijui mnatumia vigezo gani... kila la kheri octoba 2015
NB na ujasiri wa Slaa pamoja na Lissu kumtusi huyu jamaa hazarani ulitoka wapi? Hata kwenye mkutano wa mwanza kumtambulisha lembeli na ester walimtaja kuwa ni fisadi. Siasa ni kazi sana. Tusiozijua tukae kimya tusije umbuka mbeleni.
Kweli kaa tu pembeni mkuu.
Kwa nini ameongea kifichoni huko? Tunamtaka hadharani
Lipo wazi sana kwani nani aliyeondoka madarakani kwa kashifa ya wizi kama siyo Lowasa?
Acha kucheza na akili za watu. Photoshop at work.
Lipo wazi sana kwani nani aliyeondoka madarakani kwa kashifa ya wizi kama siyo Lowasa?
Wassira amewahi kua waziri mkuu mstaafu ? Au unaropoka tu