msemakweli 1
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 290
- 68
Nipo nawe,maneno yake ya kukurupuka yamemtokea puani; mfano, 'wapigwe tu' na 'fedha za ESCROW siyo za serikali' leo ameumbuka.Pinda ni mjinga,sio mwerevu. Watu wanafikiri uongozi ni kuwa mpole. Cheo ni dhamana.
Alishindwa kuwasimamiha kazi wahusika wa escrow mpaka baada ya uchunguzi labda ningemwelewa. Bali, alikuwa wa kwanza kusema hela sio za Umma. Ndio uraisi utaweza wwe? Suala hilo lililuwa dogo kujipima na uwezo w kuongoza nchi.
Pinda alitawala Tanzania tutaavaa magunia.
Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.
Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.
Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.
Duu....ngoja nika mnunulie mafuta walau lita 5 za kuanzia ruti za nkuhungu, chako ni chako, kisasa, area D, kizota etc mkuu Pinda karibu mnadani kesho tukale nyama choma .
Kikao cha CCM kimeitishwa mchana huu baada ya mapumziko ya bunge.
Tayari makamu wa rais ameshafika na viongozi waambata wote wa CCM, kinafanyika ukumbi wa White House.
Jambo la kuhashiria kuwa huenda jioni kukawa na breaking news ni kuwa tayari gari binafsi ya waziri mkuu yenye namba za usajiri T 164 AKF aina ya range rover imeshawasili eneo hili sambamba na familia yake.
Habari zilizozagaa toka kwa wabunge hapa ni kuwa jaribio la jana la kuwatuliza wabunge wa CCM limekwama kulingana na michango ya wabunge asubuhi, Sasa wamepanga binu mbili, moja ni kushinikiza bunge liiagize serikali ifanye uchunguzi kupitia ripoti ya CAG, PCCB na mapendekezo ya PAC na kisha bunge lijalo mwakani Feb 2015 serikali ije na majibu.
Na mbinu ya pili ni kukubali yaishe watu wawajibike leo leo.
Yericko is long time my brother,nilikuwa na wasiwasi wamekunyamazisha huko Dodoma,tunashukuru kwa taarifa hii nyeti
yericko una pumba sana
Kuna ujumbe wako ,,Pole sana mkuu
Like ................Kikao cha CCM kimeitishwa mchana huu baada ya mapumziko ya bunge.
Tayari makamu wa rais ameshafika na viongozi waambata wote wa CCM, kinafanyika ukumbi wa White House.
Jambo la kuhashiria kuwa huenda jioni kukawa na breaking news ni kuwa tayari gari binafsi ya waziri mkuu yenye namba za usajiri T 164 AKF aina ya range rover imeshawasili eneo hili sambamba na familia yake.
Habari zilizozagaa toka kwa wabunge hapa ni kuwa jaribio la jana la kuwatuliza wabunge wa CCM limekwama kulingana na michango ya wabunge asubuhi, Sasa wamepanga binu mbili, moja ni kushinikiza bunge liiagize serikali ifanye uchunguzi kupitia ripoti ya CAG, PCCB na mapendekezo ya PAC na kisha bunge lijalo mwakani Feb 2015 serikali ije na majibu.
Na mbinu ya pili ni kukubali yaishe watu wawajibike leo leo.
baada ya dr slaa na mushumbusi kuwa wanakutana na sindano za hatari humu jf waliamua kujitoa na kumkabidhi yerico kitengo cha propaganda,jamaa sasa ndo kazi inayomweka mjini,ufundi uashi alishaacha