Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Quote:
Originally Posted by Paparazi Muwazi
Zitto:
.....4. Kwa hiyo unataka kusema Pinda alilidanganya taifa aliposema Meremeta ni siri ya Jeshi?
Nilisema Bungeni kuwa Waziri Mkuu alikosea na kwamba Meremeta sio suala la Usalama wa Taifa. Ninarudia kusema kuwa Waziri Mkuu alikosea. Meremeta ilikuwa kampuni na serikali ilitumia kampuni hiyo kuchota fedha za umma na kuilipa kampuni ya Afrika Kusini. Ni sehemu ya Ufisadi. Pinda hakuwa sahihi.
PM
Zitto, naona hapo unataka kutumia diplomasia ya 'kakosea'. Ukweli unabaki wazi kuwa Waziri Mkuu alilidanganya Bunge, na wito wangu kwenu Wabunge baada ya kugundua hilo na kutoa kwenye Ripoti ya Kamati ya Tume ya Bomani kuwa "alikosea"basi mumtake Waziri Mkuu akanushe kauli yake kwa kukiri kuwa alikosea vinginevyo Kanuni sahihi za Bunge juu ya Kiongozi au Mbunge kulidnganya Bunge ichukue mkono wake.
Mh. Nakuomba kuwa umtake Waziri Mkuu akiri kuwa litoa taarifa siyo sahihi na atengue kauli yake otherwise...kama walivyokutenda wewe, ingawa haikuwa haki.

Nimekujibu ndani ya quotes zako kwa rangi na bold