Kijue chuo cha Madini Dodoma

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,056
2,208
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kilichopo miyuji Dodoma kimepakana na kambi ya makutupola kwa upande wa kaskazini na chuo cha mipango(IRDP) kwa upande wa kuzini, ni chuo pekee katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kinachotoa stashahada na astashahada katika sekta ya madini pamoja na petroleum

Zifuatazo ni kozi zinazotolewa ni
1.petroleum geoscience
2.geology and mineral exploration
3.mineral processing engineering
4.mining engineering
5.environmental engineering in mines

MAZINGIRA YA CHUO CHA MADINI
chuo cha Madini Dodoma MRI kina kampasi mbili nazo ni
1.main campus ya Dodoma miyuji
2.Nzega campus ulipokuwa mgodi wa dhahabu wa resolute
938a148d0afd1b1c0082fc0a4b55f1a0.jpg
f32827e97f59c3789c7b820f1f9831b2.jpg
41e07b3e66327d3e0b37bf36c63c5608.jpg
8d6e4db4f8098d15fa4aae5783dd5c18.jpg
4fdf5c0a43835b03730d0bc73bb1dc8c.jpg
d5d688d74648cdbfe73c6bb4683a4b60.jpg

Karibuni wadau
 
Asante, ingekuwa vizuri pia kama ungeeleza na haya...
1/Sifa za msingi za kuweza kujiunga.
2/Ada zake.
 
Ahsante mkuu kwa taarifa hii
Ila tuwekee sifa za muombaji ikiwezeka pia na karo (Ada).
Muhula wa masomo pia unaanza muda gani?
 
Asante, ingekuwa vizuri pia kama ungeeleza na haya...
1/Sifa za msingi za kuweza kujiunga.
2/Ada zake.
Sifa za kujiunga ni rahisi inatakiwa minimum uwe na D mbili na c moja ila inategemea na idadi na uzuri wa vyeti vya walio-apply coz cutting points zinaweza kupanda
Chuo kinamilikiwa na wizara ya nishati na MADINI na kipi chini ya usajili wa nacte
Ada yao ni tsh laki 6 na 50 kwa 1st year
Na tsh 6 kwa 2nd&3rd year
 
Ahsante mkuu kwa taarifa hii
Ila tuwekee sifa za muombaji ikiwezeka pia na karo (Ada).
Muhula wa masomo pia unaanza muda gani?
Muhula wa masomo ni mwishoni mwa mwezi wa August
Ila application hufanyika kuanzia mwezi huu wa may hadi July
 
CONTACT Us
Website; www.mri.ac.tz
Mailing Address:
Mineral Resources Institute
P.O. Box 1696
Dodoma – Tanzania
Physical Address:
Mbwanga Area, Miyuji Ward, Along Arusha Road,
near Institute of Rural Development Planning (IRDP)
Email Address:
principal@mri.ac.tz
info@mri.ac.tz
Telephone:
+255 (0) 26-2300472
+255 (0) 26-2303159
Fax: +255 (0) 26-2300472
 
Sifa za kujiunga ni rahisi inatakiwa minimum uwe na D mbili na c moja ila inategemea na idadi na uzuri wa vyeti vya walio-apply coz cutting points zinaweza kupanda
Chuo kinamilikiwa na wizara ya nishati na MADINI na kipi chini ya usajili wa nacte
Ada yao ni tsh laki 6 na 50 kwa 1st year
Na tsh 6 kwa 2nd&3rd year
Duuh!! mkuu hii ni njia rhs kusoma hizi course kuliko,advance maana udsm pale bila 1 ya pcm/pgm hujasoma hiyo petroleum engineering!
 
Back
Top Bottom