Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,357
- 111,645
halafu kule nimelala kuamka asubuhi nakuta mlango umefungwa.....
naweza kugonga tu ila siruhusiw kuingia ndani
Hahaha...
Si ujumbe ulishafikishwa kwa wahusika ndio maana mlango ukafungwa...
Wenye macho na akili za kuelewa ujumbe ushawafikia...