ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habariini marafiki zangu
Ni wakati mwingine tupate somo hapa juu ya kijogoo
asiye na mtu, mwenye kutafuta huku nakule kumengea
kuku ili aweze kumgegeda kistyle style ya sambusa.
Jogoo aliyewika tangia asubuhi hadi jioni hakupata
kuku wa kumtagisha mayai wala kutotoa vifaranga
amebaki kutoa mimacho kuangaza huku na kule haoni kitu.
amebaki kuhemahema wala haoni atampata saa ngapi?
ili aweze kula tunda aliloahidiwa. Imebaki kuwa ni stori
tu tangia majogoo ya alfajiri mpaka anaenda kulaala
bado hajaambulia kitu, amebaki kubwabwaja tu haoni
ni lini atampata ili amalize hamu na shauku yake.
Kijogoo anapenda misifa na ukimsifia tembo hulitia maji
amebaki kukodoa mijicho wala haoni atapata kinda gani
Je marafiki mmeshamtambua kijogoo huyo mpenda vya bure?
Anayeharibu mazingira, na kuharibu kizazi chetu, anaona
sifa sana anapoambiwa kuwa wewe umeua makumi elfu.
na yule kaua maelfu tu, haoni kuwa ipo siku atatoa hesabu
yake kwa matendo aliyoyafanya hapa duniani. Je rafiki
umeshamfahamu? Mm siwezi fafanulia wala fumbulia kitendawili
hichi mpaka nanyi mtoe ufumbuzi wake ndipo naweza sema.:A S kiss:
Marafiki fumbueni fumbo hili KIJOGOO huyo ni nani?:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
UWANJA NI WENU KARIBUNI