Yahaya wa Lady jaydee.
Itakua JK huyo
Kijogoo maanke ni kidume ambacho hakijakomaa au ? :smile-big:muandishi si mwanamke?
Hehehe...keyboard never lies siku zote itatoa hendiraitingi ile ile
Nimecheka sana!!!!!!!sijui aliwaza nini bestito wangu mwe
watu8 kijogoo ndio nani.ntakupa mji mie!!!!!!!!!!!Shtuka best...uwe unaunganisha dots ili uweze kuelewa mambo...
Na wala sikutegulii kitendawili hahah...
Hujasomeka mkuu.Hehehe...keyboard never lies siku zote itatoa hendiraitingi ile ile
Hujasomeka mkuu.
Think like a GT utanielewa tu mkuu...wakati mwingine natumia lugha ngumu kujiepusha na BAN.
Kichunda wako Heaven on earth kanisoma kwa uzuri kabisa...
Unalo leo...sitaki kuitwa mpashkuna
basi leo tukuite mpashukuna,jana si uligoma.......
Hahahaha....naona na wewe nimekufumbua macho eenh
Nataka unifunguee kwa saana!!!!!!!!sion vizuri bado
Mengine zaidi ya hapa ni mambo ya kifamilia lol...si unajua huyu binti ni mwanangu eenh!