Kijana Wa Dar
Member
- Sep 22, 2016
- 98
- 215
Hahahah mkuu kuleta hadi jina lake inamaana ukamzamie huko huko inboxAsa bila namba yake picha si haiwezi noga kabisa mkuu
Hahahaha mkuu mm mwenyeji ila si uchukue jina lake hilo uende huko Facebook ukajionee mwenyewesio kuombwa ni wajibu kwa picha na namba vipi wewe kwan mgeni huku ?
Si tutataka kumpigia cm na kumwambia kapendeza jaman vitu vizuri kula na ndugu zako mkuu ndukiHahahah mkuu kuleta hadi jina lake inamaana ukamzamie huko huko inbox
..mbona kama kaweka mawe huko nyumaDooh! Cha uongo hiki
Dooh! Cha uongo hiki
in use......
Source
View attachment 527947
Haya msiniombe namba maana huwa kuna katabia kameanza kakusema tuma na namba yake
Sema ana sura ya mjomba wake