Kijiografia/kihistoria ama kiutamaduni: mlima kilimanjaro unatakiwa kuwa Tanzania au Kenya?

Kihistoria ule mlima upo kenya, na hata ziwa nyasa ni la nchi ya malawi, maeneo ya kigoma ni sehemu ya rwanda, na bukoba/kagera ni sehemu za uganda,
Hiyo ilikuwa kabla ya mgawanyo na mnyang'anyiro wa bara la africa. Au wanaita scramble for/ and partition of africa.
Sasa baada ya mgawanyo ndipo kwenye nyakati hizo hizo ikabidi ramani ya bara la africa lichorwe upya kwasababu hapo mwanzo zilikuwa zinazotawala sio himaya moja(serikali),
bali mtawala ilikuwa ni vikundi vya makabila mbali mbali.
Hivyo baada ya ramani kuchorwa ndipo sasa kasheshe ikaanzia hapo,
Na ndipo hapo Tanganyika tulipopata vitu kama mlima kilimanjaro, ziwa nyasa, kigoma, bukoma na kagera pamoja na maeneo mengine na ukumbuke kwamba huo ulikuwa ni wakati wa wakoloni,
sasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru na kujikomboa kutoka kwa mkoloni ndipo nchi zikaanza kudai maeneo yao yaliyoporwa na wakoloni enzi wanachora ramani,
huku wakida kwamba hizo ramani zimechorwa kulingana na uongozi wa wakoloni na kwavile huo uongozi haupo basi na ramani zivunje kisha zianze kutumika zile ramani kabla ya kuja wakoloni...
Dah ningeendelea sema niko bize mkuu
Wewe huna unachojua......Rwanda na Burundi ulizotaja humo zilikuwa ni sehemu ya Tanganyika
 
Wadau mara kadhaa tumesikia wakenya wakisema mlima kilimanjaro uko kwao? Ninaomba kueleweshwa kwa undani kabisa kuhusu jambo hili. Karibuni.
Kihistoria pia pwani nzima ya Kenya ni sehemu ya Tanzania.
Huo mlima wanavyoungangania nahisi tukae kikao Kenya wapewe mlima na sisi tuchukue pwani nzima kuanzia Lamu, Malindi hadi Mombasa.
 
zamani kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka na mpaka leo kule rombo watu wanajivukia tu na bodaboda ukienda arusha kule wamasai wanavuka tu na ng'ombe zao hawajui cha mpaka wala nini. hawa wajaluo wa tanzania wengine wako kenya wakina raila odinga na kule vijijini kwao musoma wanajivukia tu kila siku tena kuna watanzania wanamshamba kenya wanaenda kulima asubui na wanaludi kulala jioni tanzania bila kujali mipaka.all in all mlima upo kote tanzania na kenya manake ukiwa kenya unauona na kuna mito inatiririsha maji kwenda kenya kutoka mlima kilimanjaro ila kwa kule kenya kumekaa vibaya huwezi kupanda
 
Kihistoria ule mlima upo kenya, na hata ziwa nyasa ni la nchi ya malawi, maeneo ya kigoma ni sehemu ya rwanda, na bukoba/kagera ni sehemu za uganda,
Hiyo ilikuwa kabla ya mgawanyo na mnyang'anyiro wa bara la africa. Au wanaita scramble for/ and partition of africa.
Sasa baada ya mgawanyo ndipo kwenye nyakati hizo hizo ikabidi ramani ya bara la africa lichorwe upya kwasababu hapo mwanzo zilikuwa zinazotawala sio himaya moja(serikali),
bali mtawala ilikuwa ni vikundi vya makabila mbali mbali.
Hivyo baada ya ramani kuchorwa ndipo sasa kasheshe ikaanzia hapo,
Na ndipo hapo Tanganyika tulipopata vitu kama mlima kilimanjaro, ziwa nyasa, kigoma, bukoma na kagera pamoja na maeneo mengine na ukumbuke kwamba huo ulikuwa ni wakati wa wakoloni,
sasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru na kujikomboa kutoka kwa mkoloni ndipo nchi zikaanza kudai maeneo yao yaliyoporwa na wakoloni enzi wanachora ramani,
huku wakida kwamba hizo ramani zimechorwa kulingana na uongozi wa wakoloni na kwavile huo uongozi haupo basi na ramani zivunje kisha zianze kutumika zile ramani kabla ya kuja wakoloni...
Dah ningeendelea sema niko bize mkuu
Uongo
 
Nadhani huna uhakika wa unaloliandika. Kama kabla ya wakoloni kuweka mipaka 1884-1886 Afrika ilitawaliwa kimakabila (chiefdoms) Kenya haina haki ya kudai Ml Kilimanjaro. Watu waliokuwa wanaishi maeneo ya mlima huo kuuzunguka pande zote ni wachaga. Na hao ndio walioko huko hadi leo. Nchi ya Kenya haina kabila la wachaga. Makabila ya Kenya yanayopakana na wachaga ni wasonjo na wakamba. Kirahisi ni kuwa kwa kuwa hakuna sehemu ya wachaga iliyoko Kenya na wachaga wote ni Watanzania, Mlima Kilimanjaro ni mali ya Tanzania. Hakuna porojo nyingine yoyote inayoweza kupingana na hilo.
 
Wadau mara kadhaa tumesikia wakenya wakisema mlima kilimanjaro uko kwao? Ninaomba kueleweshwa kwa undani kabisa kuhusu jambo hili. Karibuni.
mimi naishi chini ya mlima. napakana na kenya kama mita 2. ule mlima bila shaka ni wa kenya. hata watu wa pale tulipaswa kuwa wa kenya
 
Back
Top Bottom