KB THE DON
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 245
- 111
Habari za jioni wakuu,
tunapoendelea kuimakizia siku ya leo napenda tubadilishane uzoefu wa maisha ya kijijini ambako muda huu nipo.
1. Umeme hamna na saivi giza nene najipatia mwanga kupitia nokia kitochi niliyoicharge kwa jirani ambae ana umeme wa sola pekeake mtaa mzima.
2. Maji ni shida sana mpaka sasa nilienda shambani na sijui ntaoga nini japo nlikinga kidogo ya mvua nayo yameisha.
3. Hapa ndo kwanza nakoleza jiko langu la mkaa ili niweze kujipatia mlo ambao nilichogharamia ni mafuta na chumvi basi vinginevyo nmevipata shambani kwangu.
4. Barabara ni mbovu msimu wa mvua huu najuta kwanini umenikutia huku maana ili nifike halmashauri kwangu ambako umbali ni km 25 natumia siku 2 kwa gari napo Mungu akijaalie siku hiyo jua mwisho nasema kijijini kuna raha zake na karaha zake.
Kama umeishi kijijini weka lingine ulokumbana nalo.